Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yalaani jinai mpya za Wazayuni Palestina

    UN yalaani jinai mpya za Wazayuni Palestina

    Oct 30, 2018 01:15

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuwaua watoto wa Palestina hakikubaliki kabisa.

  • Ulaya na Umoja wa Mataifa zasisitiza azma yao ya kuyalinda makubaliano ya JCPOA

    Ulaya na Umoja wa Mataifa zasisitiza azma yao ya kuyalinda makubaliano ya JCPOA

    Oct 25, 2018 08:28

    Licha ya Marekani kuyapinga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, lakini nchi za Ulaya zinasisitiza kulindwa makubaliano hayo muhimu ya kimataifa. Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akichukua misimamo iliyo dhidi ya makubaliano hayo ambayo yalifikiwa mwezi Julai mwaka 2015 kati ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo marekani yenyewe na anayataja kuwa ni makubaliano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa!

  • UN yakosoa hatua ya Ufaransa ya kupiga marufuku burqa

    UN yakosoa hatua ya Ufaransa ya kupiga marufuku burqa

    Oct 23, 2018 10:03

    Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeijia juu serikali ya Ufaransa kwa kupiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.

  • Syria yaitaka UN ichunguze jinai za kivita za US eneo la Dayr al-Zawr

    Syria yaitaka UN ichunguze jinai za kivita za US eneo la Dayr al-Zawr

    Oct 21, 2018 19:48

    Serikali ya Syria imeuandikia barua Umoja wa Mataifa ikiutaka ufanye uchunguzi wa wazi na usiogemea upande wowote juu ya mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya muungano wa kijeshi wa Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Dunia yatoa radiamali baada ya Saudia kukiri kumuua Jamal Khashoggi

    Dunia yatoa radiamali baada ya Saudia kukiri kumuua Jamal Khashoggi

    Oct 20, 2018 04:34

    Saa chache baada ya Saudi Arabia kukiri kuwa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa Aal-Saud ameuawa katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul nchini Uturuki, taasisi na viongozi mbalimbali wa kimataifa wametoa taarifa za kulaani mauaji hayo ya kikatili.

  • UN yataka kuondolewa kinga ya kutoshtakiwa  wanadiplomasia wa Saudia wanaohusishwa na kadhia ya Khashoggi

    UN yataka kuondolewa kinga ya kutoshtakiwa wanadiplomasia wa Saudia wanaohusishwa na kadhia ya Khashoggi

    Oct 16, 2018 10:40

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuondolewa kinga ya kutoshtakiwa wanadiplomasia wa Saudi Arabia ambao inawezekana wamehusika na kutoweka nchini Uturuki, Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia.

  • UN: Raia 8,000 wa Afghanistan wameuawa, kujeruhiwa 2018

    UN: Raia 8,000 wa Afghanistan wameuawa, kujeruhiwa 2018

    Oct 10, 2018 22:58

    Ripoti mpya ya Ujumbe wa Usaidizi wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan (UNAMA) imesema raia zaidi ya elfu nane wa Kiafghani wameuawa na kujeruhiwa katika kipindi cha miezi tisa ya kwanza ya mwaka huu 2018.

  • Hofu ya UN juu ya kufukuzwa India wakimbizi wa Rohingya

    Hofu ya UN juu ya kufukuzwa India wakimbizi wa Rohingya

    Oct 06, 2018 00:18

    Umoja wa Mataifa umeonesha kutiwa wasiwasi mkubwa na hatua ya India ya kuwafukuza wakimbizi Waislamu wa Rohingya na kuwarejesha nchini Myanmar.

  • Dukuduku la viongozi wa Afrika kuhusu kudhulumiwa bara hilo katika Umoja wa Mataifa

    Dukuduku la viongozi wa Afrika kuhusu kudhulumiwa bara hilo katika Umoja wa Mataifa

    Oct 01, 2018 02:10

    Viongozi wengi wa Afrika wamelalamikia vikali utendaji na misimamo ya Umoja wa Mataifa kuhusu masuala na matatizo ya bara hilo na kulalamikia idadi ndogo ya wawakilishi wa Afrika wanaopewa nafasi kama wajumbe katika mashirika ya umoja huo.

  • Somalia yaitaka UN iiondolee vikwazo vya silaha

    Somalia yaitaka UN iiondolee vikwazo vya silaha

    Sep 30, 2018 10:35

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Somalia ameutaka Umoja wa Mataifa kuondoa vikwazo vya muda mrefu vya silaha dhidi ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS