Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Huenda Suu Kyi akafunguliwa mashitaka ya mauaji ya kimbari

    UN: Huenda Suu Kyi akafunguliwa mashitaka ya mauaji ya kimbari

    Dec 18, 2017 04:04

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema uhalifu unaofanywa na wanajeshi wakishirikiana na Mabudha nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya ni mauaji ya kimbari na yumkini wanaohusika wakiwemo viongozi wa nchi hiyo wakapandishwa kizimbani karibuni hivi.

  • Msafara wa maafisa wa UN Nigeria washambuliwa, 4 wauawa

    Msafara wa maafisa wa UN Nigeria washambuliwa, 4 wauawa

    Dec 18, 2017 04:02

    Maafisa wanne wa Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa WFP wameuawa baada ya msafara wao kuviziwa na kushambuliwa kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Baraza la Usalama kupigia kura muswada wa kulaani uamuzi wa Trump

    Baraza la Usalama kupigia kura muswada wa kulaani uamuzi wa Trump

    Dec 18, 2017 01:13

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litachunguza muswada unaopinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutambua rasmi Quds kuwa ni mji mkuu wa Israel.

  • Zarif: Iran itaishtaki Marekani Umoja wa Mataifa

    Zarif: Iran itaishtaki Marekani Umoja wa Mataifa

    Dec 17, 2017 00:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu itayawasilisha Umoja wa Mataifa madai ya Nikki Haley, balozi wa Marekani katika umoja huo kwamba eti Iran imeipatia silaha harakati ya Ansarullah ya Yemen.

  • UN: Kombora lililovurumishwa Riyadh Saudi Arabia si la Iran

    UN: Kombora lililovurumishwa Riyadh Saudi Arabia si la Iran

    Dec 15, 2017 00:47

    Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa usiku wa kuamkia leo amesisitiza kuwa, hakuna ushahidi wowote unaoweza kuthibitisha madai kwamba makombora yanayotumiwa na jeshi la Yemen kuipiga Saudi Arabia yanatoka nchini Iran.

  • Mjumbe wa UN: Wanawake Waislamu wa Myanmar wanabakwa hadi kufa

    Mjumbe wa UN: Wanawake Waislamu wa Myanmar wanabakwa hadi kufa

    Dec 13, 2017 23:41

    Mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu ukatili wa kingono unaofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na kutoa wito wa kutolewa azimio la Baraza la Usalama la kusitishwa ukatili huo mara moja.

  • UN: Watu zaidi ya milioni 8.4 wa Yemen wapo katika ncha ya kufa njaa

    UN: Watu zaidi ya milioni 8.4 wa Yemen wapo katika ncha ya kufa njaa

    Dec 12, 2017 04:40

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, watu milioni 8 na laki 4 wamebakisha 'hatua moja' watumbukie katika mgogoro mkubwa njaa.

  • UN yaeleza wasiwasi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Libya

    UN yaeleza wasiwasi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Libya

    Dec 11, 2017 10:13

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameeleza wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanyika nchini humo.

  • Jeshi la DRC laahidi kutoa jibu kali kwa waasi wa ADF baada ya kuua wasimamia amani

    Jeshi la DRC laahidi kutoa jibu kali kwa waasi wa ADF baada ya kuua wasimamia amani

    Dec 10, 2017 11:01

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limeatangaza kuwa, litatoa jibu kali kwa mauaji yaliyofanywa na waasi wa ADF-NALU wa Uganda dhidi ya askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Mataifa MONUSCO.

  • Guterres: Mauaji dhidi ya askari wa UN huko Kongo ni 'jinai ya kivita'

    Guterres: Mauaji dhidi ya askari wa UN huko Kongo ni 'jinai ya kivita'

    Dec 09, 2017 03:45

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji ya wanajeshi wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO, na kuutaja ukatili huo kama jinai ya kivita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS