-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu ukame na njaa Sudan Kusini
Dec 08, 2017 23:03Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya kibinadamu ametahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya chakula kwa zaidi ya watu milioni moja huko Sudan Kusini.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu kuteswa raia Cameroon
Dec 08, 2017 00:54Kamati ya Kukabiliana na Mateso ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusu vitendo vya utesaji vinavyofanywa na wanajeshi wa serikali ya Cameroon dhidi ya raia chini ya anuani ya mapambano dhidi ya ugaidi katika maeneo ya wakazi wanaozungumza lugha ya Kiingereza.
-
Mkutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa waanza Nairobi
Dec 04, 2017 03:41Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Miroslav Lajčák aliyeko ziarani nchini Kenya, amesema maendeleo hayapaswi kusababisha uharibifu wa mazingira.
-
Marekani yajiondoa katika Mkataba wa Kimataifa wa Uhamiaji
Dec 04, 2017 03:09Serikali ya Marekani imetangaza kuwa, nchi hiyo imejiondoa katika Mkataba wa Kimataifa wa Uhamiaji unaoshughulikia masuala ya kuboresha na kusimamia masuala ya wahajiri na wakimbizi.
-
UN yataka kusitishwa mashambulizi ya Saudia dhidi ya Yemen
Dec 03, 2017 23:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mashambulizi ya anga na nchi kavu yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya watu wa Yemen na kuanza tena kuingizwa bidhaa za kibiashara nchini humo.
-
Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast
Nov 30, 2017 08:10Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) kilianza hapo jana na kuendelea hadi leo katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
UNICEF: Mtoto mmoja hufariki dunia kila baada ya dakika kumi nchini Yemen, Saudia yaendeleza mauaji
Nov 27, 2017 04:41Mkurugenzi wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa katika Kanda wa Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika amesema kuwa Yemen inayoendelea kushambuliwa na Saudi Arabia na washirika wake ndiyo eneo baya zaidi kwa watoto duniani na kwamba zaidi ya watoto milioni 11 wa Yemen wanaishi katika hali mbaya na ya kusikitisha.
-
Waasi wa Kikristo wa Anti Balaka waua askari wa UN na kujeruhi wengine kadhaa CAR
Nov 27, 2017 04:40Wapiganaji wa kundi la Kikristo la Anti barala wameua askari mmoja wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na kujeruhi wengine watatu.
-
Askari 3 wa UN na mmoja wa Mali wauawa karibu na mpaka wa Niger
Nov 24, 2017 23:20Askari watatu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa huko Mali MINUSMA na mwanajeshi wa serikali wameuawa baada ya kuviziwa na kushambuliwa ghafla na genge moja la kigaidi huko kaskazini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Niger.
-
UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea
Nov 24, 2017 12:22Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema hali katika mkoa wa Rakhine nchini Myanmar sio shwari kuweza kuwapokea malaki ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbilia nchini Bangladesh.