-
Wallace: Vikwazo vya EU dhidi ya Russia vinahudumia maslahi ya Marekani
Feb 24, 2023 23:12Mbunge wa Bunge la Ulaya amevitaja vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia kuwa huduma kwa maslahi ya Marekani na uwendawazimu usio na kifani kwa niaba ya watu wa Ulaya.
-
Iran inajiandaa kujibu mapigo ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya
Feb 21, 2023 00:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ndani ya siku chache zijazo itatoa jibu la vikwazo vya hivi karibuni vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 32 na taasisi mbili za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mienendo ya Umoja wa Ulaya ni mwendelezo wa sera iliyofeli ya Trump
Feb 20, 2023 04:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, mienendo ya Umoja wa Ulaya katika miezi ya hivi karibuni ni mwendelezo wa sera zisizo na tija na zilizofeli za rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump.
-
Jibu la Iran kwa vikwazo vya Umoja wa Ulaya
Jan 27, 2023 23:02Katika kukabiliana na vikwazo vya hivi karibuni vya Umoja wa Ulaya, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechapisha orodha mpya ya shakhsia na taasisi za Ulaya ambazo zimewekewa vikwazo na serikali ya Tehran.
-
Iran yajibu mapigo, yatangaza vikwazo dhidi ya EU, Uingereza
Jan 26, 2023 00:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu hatua ya Umoja wa Ulaya na Uingereza ya kuwawekea vikwazo baadhi ya shakhsia binafsi na wa kiserikali wa Jamhuri ya Kiislamu, kwa kutangaza vikwazo dhidi ya shakhsia na taasisi za EU na Uingereza.
-
EU yaendeleza msimamo wa uhasama dhidi ya Iran
Jan 23, 2023 23:15Umoja wa Ulaya umeendeleza misimamo yake ya uhasama kwa Iran kwa kuiwekea vikwazo vipya.
-
Umoja wa Ulaya washadidisha uingiliaji katika masuala ya ndani ya Iran
Jan 19, 2023 23:13Katika muendelezo wa uingiliaji wa Umoja wa Ulaya katika masuala ya ndani ya Iran, Bunge la Ulaya linatafakari na kujadili suala la kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) katika kile kinachoitwa orodha ya mashirika ya kigaidi.
-
Iran: EU imefanya kosa kubwa kuiweka IRGC katika orodha ya ugaidi
Jan 19, 2023 07:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Bunge la Ulaya limefanya kosa kubwa kwa kupiga kura ya kuutaka Umoja wa Ulaya na nchi wanachama wa EU kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika orodha ya makundi ya kigaidi.
-
Umoja wa Ulaya washindwa kulaani uchochezi wa waziri mwenye itikadi za kibaguzi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa.
Jan 05, 2023 04:29Kitendo cha uchochezi cha waziri mwenye itikadi kali na za kibaguzi wa baraza la mawaziri la utawala haramu wa Israel katika kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa hakijakabiliwa na hatua yoyote ya maana kutoka kwa Umoja wa Ulaya.
-
Kampuni kubwa ya mafuta ya Marekani yaushtaki Umoja wa Ulaya; kuongezeka hitilafu kati ya pande mbili.
Dec 30, 2022 05:26Kampuni kubwa ya mafuta ya Marekani Exxon, ikiwa ni moja ya wauzaji wakubwa wa mafuta katika bara Ulaya, imushtaki Umoja wa Ulaya kwa kuyatoza makampuni ya mafuta ushuru mpya unaojulikana kama "kodi ya malipo kwa mapatano yanayopatikana bila kutoa jasho."