-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran: Umoja wa Ulaya ujiepushe kuituhumu Iran
Sep 14, 2024 12:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Umoja wa Ulaya unapasa kujiepusha na kutoa tuhuma kwa kutegemea taarifa za uongo.
-
Umoja wa Ulaya kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel
Aug 30, 2024 02:40Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amewataka mawaziri wa mambo ya nje wa EU kuzingatia vikwazo dhidi ya mawaziri wa Israel.
-
Baada ya UN, Iran yaitaarifu EU: Tutalitia adabu genge la wahalifu la utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 03, 2024 06:57Iran itatumia haki yake ya asili na halali ya kuliadhibu "genge la wahalifu la Kizayuni" kwa shambulio lake la kigaidi la siku ya Jumatano iliyopita, ambalo lilipelekea kuuawa mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh mjini Tehran.
-
Onyo la Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu uwezekano wa kusambaratika Umoja wa Ulaya
Jul 28, 2024 10:29Waziri Mkuu wa Hungary amekosoa siasa za nje za Umoja wa Ulaya zinazofuata na kuegemea upande wa Marekani na kuonya kuhusu uwezekano wa kujiangamiza umoja huo katika siku zijazo.
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza udharura wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza
Jul 13, 2024 02:13Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza ni mbaya na isiyovumilika.
-
EU: Tuko tayari kuboresha ushirikiano na Iran
Jul 07, 2024 07:37Msemaji wa Umoja wa Ulaya anayehusika na sera ya mambo ya nje na usalama amempongeza Rais mteule wa Iran na kusema umoja huo uko tayari kustawisha ushirikiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Borrell: Umoja wa Ulaya uchague ama vita au Israel
May 25, 2024 11:03Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU inapasa kuweka bayana msimamo wake kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kuutaka utawala wa Israel usitishe mara moja mashambulizi yake ya kijeshi mjini Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Waarabu wazipongeza nchi za Ulaya zilizolitambua taifa la Palestina
May 23, 2024 10:28Mataifa ya Kiarabu yamekaribisha hatua ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kutangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina.
-
Russia: Umoja wa Ulaya hauna uvumilivu katika suala la uhuru wa kutoa maoni
May 19, 2024 10:39Spika wa Bunge la Russia Duma ameushutumu Umoja wa Ulaya (EU) kwa kubana maoni mbadala na kuminya uhuru wa kujieleza kwa lengo la kuwahadaa raia.
-
Borrell: Nchi 4 za Ulaya kulitambua taifa la Palestina
May 11, 2024 07:58Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amethibitisha kuwa nchi nne za Ulaya zitaitambua Palestina kama taifa huru.