Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Waziri Mkuu wa Uingereza anusurika kura ya kutokuwa na imani naye, Brexit matatani

    Waziri Mkuu wa Uingereza anusurika kura ya kutokuwa na imani naye, Brexit matatani

    Jan 18, 2019 00:21

    Kadhia ya kuondoka Uingereza katika Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit, hivi sasa ni suala muhimu zaidi la kisiasa kwa Waingereza na kwa Umoja wa Ulaya. Pamoja na kuwepo mapatano yaliyofikiwa mwishoni mwa mwezi Novemba 2018 baina ya Uingereza na Umoja wa Ulaya kuhusu Brexit, lakini Theresa May Waziri Mkuu mhafidhina wa Uingereza alishindwa vibaya bungeni siku ya Jumanne kuhusu kadhia hiyo.

  • Qassemi: Iran ingali imefungamana na makubaliano ya nyuklia JCPOA

    Qassemi: Iran ingali imefungamana na makubaliano ya nyuklia JCPOA

    Jan 13, 2019 04:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha uvumi kwamba Tehran imejiondoa katika makubaliano ya nyuklia yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA.

  • Ukosoaji wa Russia kwa EU kwa kufeli mtihani wa kutekeleza kivitendo makubaliano ya JCPOA

    Ukosoaji wa Russia kwa EU kwa kufeli mtihani wa kutekeleza kivitendo makubaliano ya JCPOA

    Jan 12, 2019 04:43

    Makubaliano ya nyuklia, yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni makubaliano muhimu sana katika uga wa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. Lakini uamuzi iliochukuliwa na Marekani mnamo mwezi Mei 2018 wa kujitoa kwenye JCPOA, ulikuwa hatua hasi iliyotekelezwa kwa nia ya kuyasambaratisha makubaliano hayo.

  • Russia: EU haijafuzu mtihani wa utekelezaji kivitendo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Russia: EU haijafuzu mtihani wa utekelezaji kivitendo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 12, 2019 00:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, Umoja wa Ulaya haujafaulu mtihani wa kuonyesha kuwa uko huru kivitendo katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Iran: Nchi za Ulaya si wakweli katika suala la kupambana na ugaidi

    Iran: Nchi za Ulaya si wakweli katika suala la kupambana na ugaidi

    Jan 09, 2019 13:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uamuzi usio na mantiki na wa kushangaza uliochukuliwa na Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo raia kadhaa wa Iran kwa kutegemea tuhuma zisizo na msingi wowote.

  • Iran yaikosoa Ulaya kwa kuchelewa kutekeleza mfumo wa kifedha wa SPV

    Iran yaikosoa Ulaya kwa kuchelewa kutekeleza mfumo wa kifedha wa SPV

    Jan 05, 2019 23:10

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameukosoa Umoja wa Ulaya kwa kuchelewesha utekelezwaji wa mfumo mpya wa kifedha baina ya Iran na umoja huo unaojulikana kama SPV.

  • Mogherini: EU haitairuhusu Marekani iingilie uhusiano wake na Iran

    Mogherini: EU haitairuhusu Marekani iingilie uhusiano wake na Iran

    Jan 02, 2019 11:47

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema Marekani haiwezi na haipaswi kuitwisha EU sera zake na kwamba umoja huo wenye nchi wanachama 28 hautairuhusu Washington iufanyie maamuzi juu ya uhusiano wake wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Uingereza yataka kuwa na nafasi kubwa zaidi katika uwanja wa kimataifa

    Uingereza yataka kuwa na nafasi kubwa zaidi katika uwanja wa kimataifa

    Dec 31, 2018 02:49

    Uingereza ambayo inatambuliwa kuwa mwanachama muasi wa Umoja wa Ulaya Juni mwaka 2016 iliitisha kura ya maoni iliyowataka wananchi wa nchi hiyo wachague ama kuondoka au kubakia katika Umoja huo. Sasa baada ya wananchi kuchukua uamuzi wa kuondoka katika Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit imepangwa kuwa hadi mwezi Machi mwaka unaoanza kesho wa 2019 Uingereza itajitenga na Umoja wa Ulaya.

  • Umoja wa Ulaya walaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Umoja wa Ulaya walaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Dec 28, 2018 03:30

    Umoja wa Ulaya umetoa taarifa na kusema kuwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaoendelezwa na Israel kwa kujenga nyumba 2,191 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni kinyume cha sheria.

  • Qatar yautaka Umoja wa Ulaya kuiwekea mashinikizo Saudi Arabia

    Qatar yautaka Umoja wa Ulaya kuiwekea mashinikizo Saudi Arabia

    Dec 21, 2018 05:10

    Mkuu wa Kamati ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Qatar ameuomba Umoja wa Ulaya kuiwekea mashinikizo zaidi Saudi Arabia ili iondoe vikwazo vyake dhidi ya Qatar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS