-
UNICEF yaeleza wasiwasi wake kuhusu ukatili unaofanywa dhidi ya watoto duniani
Nov 02, 2017 17:40Afisa wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) ametangaza kuwa, karibu watoto milioni 300 wanakabiliwa na ukatili na manyanyaso kote duniani.
-
UNICEF: Zaidi ya nusu ya skuli katika eneo la ngome kuu ya Boko Haram Nigeria zimefungwa
Sep 29, 2017 07:37Huku hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria yakiingia katika mwaka wake wa tisa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetangaza kuwa zaidi ya nusu ya skuli za jimbo la Borno ambalo ni kitovu cha hujuma na mashambulio ya kundi hilo zimefungwa.
-
Wafanyakazi wa UNICEF watekwa nyara Sudan Kusini
Jul 12, 2017 14:30Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, wafanyakazi watatu wa shirika hilo wametekwa nyara nchini Sudan Kusini.
-
UNICEF: Zaidi ya nusu ya wakimbizi barani Afrika ni watoto wadogo
Jul 05, 2017 08:14Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umesema kuwa, zaidi yawatoto milioni saba wa maeneo ya magharibi na katikati mwa Afrika wanaishi katika mazingira magumu kutokana na matatizo mbalimbali kama vile ukatili, umaskini na kuharibika hali ya hewa na kwamba idadi hiyo inaunda zaidi ya nusu ya wakimbizi barani Afrika.
-
Unicef: Kuna uhaba wa suhula za matibabu nchini Yemen
Jun 29, 2017 04:11Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadharisha kuhusu taathira mbaya za hatua ya Saudi Arabia ya kuizingira Yemen na uhaba wa suhula za matibabu na dawa unaoikabili nchi hiyo maskini ya Kiarabu.
-
UNICEF: Watoto 1,000 wanakimbia vita Sudan Kusini kila siku
Jun 20, 2017 13:43Huku ulimwengu leo ukiadhimisha Siku ya Wakimbizi duniani, imebainika kuwa watoto 1,000 kila siku hufurushwa makwao nchini Sudani Kusini.
-
Unicef: Asilimia 20 ya watoto katika nchi tajiri wanasumbuliwa na umaskini
Jun 16, 2017 04:25Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetangaza katika ripoti yake kwamba mtoto mmoja kati ya watano katika nchi tajiri au zilizostawi anaishi katika katika hali ya umaskini.
-
Unicef yatahadharisha kuenea kipindupindu Mashariki ya Kati, Kaskazini mwa Afrika
May 24, 2017 14:22Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa, mamilioni ya watoto wa maeneo ya Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika wamo hatarini kutokana na uwezekano wa kuenea janga hatari la kipindupindu katika maeneo hayo.
-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 19, 2017 02:49Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.
-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 19, 2017 02:48Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.