-
UNICEF yatoa indhari ya watoto kubaki bila ya walezi Magharibi mwa Afrika
May 18, 2017 15:04Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kushughulikia Watoto UNICEF umetangaza kuwa kati ya kila watoto watano, mmoja amepoteza wazazi wake wote wawili kutokana na ugonjwa wa Ukimwi magharibi mwa Afrika.
-
UNICEF: Maradhi ya ukimwi yangali ni tishio duniani
May 07, 2017 13:26Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetangaza kuwa, bado maradhi ya ukimwi yangali ni tishio ulimwenguni.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya watoto katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 06, 2017 04:09Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetoa indhari na onyo kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya watoto na kubakia bila makazi raia katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UNICEF: Watoto elfu 30 wanahitaji chanjo ya haraka nchini Somalia
Apr 26, 2017 02:32Mjumbe wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) nchini Somalia amesisitizia udharura wa kupatiwa chanjo maelfu ya watoto kusini mwa nchi hiyo.
-
Unicef yafikia maeneo yanakojiri mapigano huko Sudan
Apr 23, 2017 13:56Serikali ya Sudan imeruhusu kuingia wataalamu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) katika maeneo yanayojiri mapigano.
-
Watoto wahajiri 150 waaga dunia katika bahari ya Mediterania
Apr 21, 2017 16:08Watoto wahajiri zaidi ya 150 waliokuwa wakielekea Ulaya wameaga dunia katika bahari ya Mediterania.
-
Unicef na Wfp zatoa msaada wa chakula kwa Sudan Kusini
Mar 29, 2017 02:56Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kwa pamoja zimegawa misaada mbalimbali kwa raia 145,000 wa Sudan Kuisni wakiwemo watoto elfu 33 walio na umri wa chini ya miaka mitano.
-
UNICEF: Watoto Waafrika wavukao Mediteranea kuelekea Ulaya wanateswa vibaya
Mar 01, 2017 03:57Safari ya watoto wanaokimbia mizozo na mateso Afrika kwenda Ulaya kupitia bahari ya Mediteranea imegubikwa na mateso ikiwemo ukatili wa kingono na kulazimishwa kufanya kazi.
-
UNICEF: Hali ya watoto barani Afrika inasikitisha
Feb 23, 2017 03:04Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto barani Afrika.
-
Unicef: Kuuliwa watoto wa Yemen ni jinai
Feb 19, 2017 14:18Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limesema kuwa mshambulizi yanayofanywa na Saudi Arabia dhidi ya watoto wa Yemen ni jinai za wazi na zisizosameheka.