-
UNICEF: Maelfu ya watoto wakimbizi Waafrika wameingia Ulaya
Jan 14, 2017 07:08Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema watoto wapatao 25,800 waliwasili nchini Italia mwaka 2016 wakiwa peke yao kwa lengo la kusaka hifadhi barani Ulaya.
-
UNICEF: Malezi bora ya awali ni muhimu kwa maendeleo ya mtoto
Jan 11, 2017 04:06Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF leo limezindua kampeni inayolenga kuhamasisha shughuli zinazokuza ubongo wa mtoto ndani ya siku 1000 tangu anapozaliwa
-
UNICEF: Mtoto mmoja hufariki dunia kila bada ya dakika 10 nchini Yemen
Dec 14, 2016 04:26Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa kwa uchache mtoto mmoja hufarikki dunia katika muda wa dakika 10 nchini Yemen kutokana na lisheduni, kuharisha na maambukizi ya mrija wa kupumua.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusu hali ya maisha ya watoto duniani
Dec 10, 2016 07:24Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa watoto wapatao milioni 535, ambao ni sawa na robo moja ya watoto wote duniani wanaishi kwenye nchi zenye migogoro au zinazokabiliwa na maafa ya kimaumbile.
-
Mamia ya watoto waachiwa huru kutoka korokoro za serikali, Nigeria
Oct 29, 2016 04:47Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa mamia ya watoto wameachiwa huru kutoka kwenye korokoro za serikali ya Nigeria.
-
UNICEF yatiwa wasiwasi na hali mbaya ya watoto nchini Yemen
Oct 18, 2016 15:10Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umesema una wasiwasi juu ya hali mbaya ya watoto wadogo katika nchi iliyokumbwa na vita na mgogoro ya Yemen.
-
Unicef yatahadharisha kuhusu utapiamlo kwa watoto
Oct 14, 2016 13:52Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limetahadharisha kuhusu utapiamlo unaowasibu watoto katika nchi zinazoendelea duniani.
-
Unicef yatahadharisha kuhusu kimbunga cha Mathew
Oct 05, 2016 14:59Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umeripoti kuwa watoto zaidi ya milioni nne nchini Haiti wanakakabiliwa na hatari ya uharibifu iliyosababishwa na kimbunga cha Mathew kilichoathiri visiwa vya eneo la Caribean.
-
UNICEF: Watoto milioni 50 wamekimbia makwao duniani
Sep 07, 2016 13:32Karibu watoto milioni 50 duniani wamekimbia makazi yao, zaidi ya nusu ya idadi hiyo ikiwa ni kutokana na mizozo na mapigano kwenye nchi zao.
-
Unicef yatadharisha kuhusu kujiunga watoto na makundi ya kigaidi
Aug 20, 2016 11:17Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetangaza kuwa watoto zaidi ya elfu 16 wamejiunga na makundi ya wabeba silaha huko Sudan Kusini na katika mwaka huu pia watoto zaidi ya 650 wamejiunga na makundi ya wanamgambo nchini humo.