Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mkuu wa jeshi la Israel akiri wameshindwa kulinda usalama wa Wazayuni

    Mkuu wa jeshi la Israel akiri wameshindwa kulinda usalama wa Wazayuni

    Dec 24, 2018 04:50

    Mkuu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umeshindwa katika miezi ya hivi karibuni kuwadhaminia usalama wao walowezi wa Kizayuni wanaishi karibu na Ukanda wa Ghaza.

  • Az-Zahar: Muqawama utaendelea mpaka utawala wa Kizayuni uangamizwe kikamilifu

    Az-Zahar: Muqawama utaendelea mpaka utawala wa Kizayuni uangamizwe kikamilifu

    Dec 23, 2018 23:19

    Mkuu wa mrengo wa Muqawama katika Bunge la Palestina, ameashiria mchango na nafasi ya Palestina katika mhimili wa Muqawama na kusisitiza kwamba: Inapasa uwepo uratibu kati ya muqawama wa Palestina, Syria na Lebanon ili kuangamizwa kwa Israel kuthibiti kikamilifu.

  • Mawaziri sita wa serikali ya Israel washiriki katika maandamano ya kupinga serikali

    Mawaziri sita wa serikali ya Israel washiriki katika maandamano ya kupinga serikali

    Dec 17, 2018 11:50

    Baada ya kupata kipigo kutoka kwa wanamapambano wa Palestina na kulazimika Israel kukomesha uvamizi wake wa Ghaza baada ya siku mbili tu, sasa hivi utawala wa Kizayuni umekumbwa na maandamano ya kuipinga serikali huku mawaziri sita wa serikali hiyo nayo wakishiriki kwenye maandamano ya jana usiku ya kumpinga waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.

  • Kamanda wa Jeshi la Israel afanya safari ya siri nchini UAE

    Kamanda wa Jeshi la Israel afanya safari ya siri nchini UAE

    Dec 15, 2018 23:14

    Kamada wa Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel hivi karibuni amefanya safari ya siri katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na kukutana na Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi.

  • Wazayuni waendelea kuchimba mashimo kusini mwa Msikiti wa Al-Aqswa

    Wazayuni waendelea kuchimba mashimo kusini mwa Msikiti wa Al-Aqswa

    Dec 15, 2018 23:14

    Wazayuni wamekithirisha njama zao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa kwa kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea msikiti huo mtakatifu.

  • Iran yajibu upayukaji wa waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni

    Iran yajibu upayukaji wa waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni

    Dec 14, 2018 01:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, maneno ya kipuuzi na ya aibu ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni yanatokana na kuweweseka kwake kuhusu Iran, na kwamba kutoa vitisho vya kijeshi dhidi ya nchi kubwa kama Iran bila ya shaka yoyote hakuwezi kuachwa vivi hivi, bali kutafuatiliwa katika jumuiya na taasisi za kisheria na za kimataifa.

  • PLO yawataka Wapalestina kupambana na wanajeshi wa Israel

    PLO yawataka Wapalestina kupambana na wanajeshi wa Israel

    Dec 14, 2018 00:53

    Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO kimewataka wananchi wa Palestina kutokubali kudhalilishwa na wasimame imara kupambana na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wazayuni watoa wito wa kuuliwa kigaidi Mahmoud Abbas

    Wazayuni watoa wito wa kuuliwa kigaidi Mahmoud Abbas

    Dec 11, 2018 12:13

    Watu wasiojulikana wameanza kusambaza matangazo na kutundika makaratasi katika vituo vya upekezi vinavyodhibitiwa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wakitaka kuuliwa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas.

  • HAMAS: Mamlaka ya Ndani ya haipaswi kuwa mtekelezaji wa mipango ya Wazayuni

    HAMAS: Mamlaka ya Ndani ya haipaswi kuwa mtekelezaji wa mipango ya Wazayuni

    Dec 06, 2018 10:01

    Mousa Abu Marzook, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameitaka Mamlaka ya Ndani ya Palestina kutokubali kufanywa chombo cha kutekeleza mipango ya Wazayuni.

  • Ushirikiano wa karibu wa Saudia na Israel kwa ajili ya kuwakandamiza wapinzani wa Riyadh

    Ushirikiano wa karibu wa Saudia na Israel kwa ajili ya kuwakandamiza wapinzani wa Riyadh

    Nov 26, 2018 01:20

    Gazeti la Haaretz la utawala haramu wa Kizayuni limeelezea kuwepo mazungumzo ya shirika moja la Israel na viongozi wa utawala wa Saudi Arabia kwa ajili ya mauzo ya vyombo vya kisasa vya ujasusi kwa ajili ya nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS