-
Spika wa Bunge Kuwait: Israel inapaswa kutengwa kimataifa
Mar 23, 2017 11:45Spika wa Bunge la Kuwait, Marzouq Al-Ghanim, amelaani siasa za kibaguzi za utawala haramu wa Israel na kusisitiza udharura wa kutengwa utawala huo katika Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge.
-
Wapalestina waandamana kulaani ukatili wa Israel
Mar 19, 2017 00:56Mamia ya Wapalestina wameshiriki katika mazishi ya kiijana aliyeuawa kwa kupigwa risasia na vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Al Khalil huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jeshi la Syria latungua ndege ya kivita ya Israel wakati ikiwasaidia lSIS, lsrael yapatwa na wasi wasi mkubwa
Mar 17, 2017 15:09Komandi kuu ya jeshi la Syria imetangaza kuwa kikosi cha anga cha jeshi la nchi hiyo kimetungua ndege ya kivita ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wakati ilipokuwa katika safari yake kuelekea mji wa Palmyra, magharibi mwa mji wa Homs kuwasaidia magaidi walioshindwa wa Daeish.
-
Guterres aamuru kufutwa ripoti ya Apartheid kuhusu Israel
Mar 17, 2017 12:53Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameamuru kufutwa ripoti ya ESCWA kuhusu siasa za ubaguzi za utawala haramu wa Israel. Hatua hiyo ya Antonio Guterres imechukuliwa kutokana na mashinikizo ya waitifaki wa utawala huo ghasibu.
-
Kufichuka ushirikiano mkubwa baina ya Israel na magaidi wakufurishaji
Mar 16, 2017 23:28Ripoti zimeenea kuhusu ushirikiano mkubwa uliopo baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na magaidi wenye misimamo mikali ya ukufurishaji.
-
Silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni ni tishio kwa usalama wa dunia
Mar 10, 2017 00:45Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa amani na usalama wa kimataifa na ametaka wakala huo uchunguze na kufuatilia kwa uzito mkubwa mpango wa silaha za nyuklia wa utawala huo.
-
Israel yaidhinisha sheria ya kupiga marufuku Adhana
Mar 09, 2017 00:38Bunge la Utawala wa Kizayuni wa Israel, Knesset, limepitisha rasimu ya sheria ya kupiga marufuku adhana katika misikiti yote iliyopo katika mji mtakatifu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Hamas: Tutaendeleza mapambano ya mtutu wa bunduki dhidi ya utawala wa Kizayuni
Mar 05, 2017 12:55Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina imesisitiza kuwa itaendeleza mapambano ya mtutu wa bunduki dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaoikalia Quds kwa mabavu.
-
Amir-Abdollahian: Waislamu wanaunga mkono azimio la kupinga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni Palestina
Mar 02, 2017 04:16Katibu Mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Palestina amesema kuwa, nchi za Kiislamu kwa pamoja zinaunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kupinga ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala haramu wa Israel huko Palestina.
-
Mbinu mpya za Israel za kuwaua viongozi wa Hizbullah na Hamas
Feb 26, 2017 23:17Naibu Waziri wa Ushirikiano wa utawala wa Kizayuni amewatishia viongozi wa Hizbullah ya Lebanon na wale wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kuwa Israel itatumia mbinu mpya za kuwaua.