-
Erdogan: Tutawanyonga waliohusika na jaribio la mapinduzi
Oct 30, 2016 03:54Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema serikali yake inapania kurejesha adhabu ya kifo kwa ajili ya kuwahukumu waliohusika na jaribio la mapinduzi lililofeli mwezi Julai mwaka huu.
-
Wabunge Iraq wapinga kuweko kijeshi Uturuki huko Iraq
Oct 16, 2016 04:36Wabunge wa Iraq wametaka Uturuki iwekewe vikwazo kama radiamali kwa kuwepo wanajeshi wa nchi hiyo huko Iraq.
-
Kukamatwa kaka wa Fethullah Gülen nchini Uturuki kwa tuhuma za ndugu yake
Oct 03, 2016 23:23Polisi nchini Uturuki wamemtia mbaroni kaka wa Fethullah Gülen kwa tuhuma zilizo nyuma ya pazia za Ankara kwamba, alihusika katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli mwezi Julai mwaka huu nchini humo.
-
Kuendelea ukosoaji juu ya siasa mbovu za ndani na nje za serikali ya Uturuki kuhusu Syria
Oct 03, 2016 04:47Vyama vya upinzani nchini Uturuki vimeendelea kukosoa vikali siasa za serikali ya chama tawala cha uadilifu na ustawi kutokana na ubinafsi wake.
-
Kuendelea kukosolewa siasa mbovu za ndani na nje za serikali ya Uturuki kuhusu Syria
Oct 03, 2016 00:27Vyama vya upinzani nchini Uturuki vimeendelea kukosoa vikali siasa za serikali ya chama tawala cha Uadilifu na Ustawi kutokana na ubinafsi wake.
-
Erdogan: EU iwe imeijumuisha Uturuki kufikia mwisho wa mwezi huu
Oct 02, 2016 04:50Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameupa Umoja wa Ulaya hadi mwisho wa mwezi huu uwe umekamilisha mchakato wa nchi hiyo kujiunga na EU.
-
Polisi ya Uturuki yawatawanya walimu kwa mabomu ya kutoa machozi
Sep 11, 2016 00:04Polisi ya Uturuki imetumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya mamia ya walimu waliofanya maandamano kulalamikia hatua ya serikali ya kuwapiga kalamu nyekundu walimu wenzao kwa sababu za kisiasa katika mji wa Diyarbakır.
-
Sasa ni ruhsa kwa polisi wa Uturuki kuvaa Hijabu
Aug 27, 2016 23:34Kwa mara ya kwanza, serikali ya Uturuki imetoa ruhusa kwa polisi wa kike kuvaa vazi la staha la Hijabu wakiwa kazini. Ruhusa hiyo imetolewa kupitia hukumu iliyotangazwa jana Jumamosi katika gazeti rasmi la serikali.
-
Serikali ya Damascus: Operesheni ya kijeshi ya Uturuki ndani ya ardhi ya Syria ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya kujitawala
Aug 24, 2016 10:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelaani operesheni ya kijeshi ya Uturuki iliyopewa jina la Ngao ya Euphrates huko kaskazini mwa Syria na kueleza kuwa uingiliaji huo wa kijeshi wa Ankara ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.
-
Shambulio la bomu laua watu 50 na kujeruhi 100 harusini Uturuki
Aug 21, 2016 10:59Watu wasiopungua 50 wameuawa na wengine wapatao 100 wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi la kujitolea mhanga lililolenga sherehe ya harusi katika mkoa wa Gaziantep ulioko kusini mashariki mwa Uturuki.