Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Venezuela yamtimua balozi wa Ujerumani kwa hatua yake ya kumuunga mkono Juan Guaidó

    Venezuela yamtimua balozi wa Ujerumani kwa hatua yake ya kumuunga mkono Juan Guaidó

    Mar 07, 2019 00:38

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imemtimua balozi wa Ujerumani nchini humo kutokana na hatua yake ya kumuunga mkono Juan Guaidó, mpinzani wa serikali aliyejitangaza kuwa rais, badala ya serikali halali ya Caracas.

  • Lavrov: Matamshi ya Bolton dhidi ya Venezuela ni ya udhalilishaji

    Lavrov: Matamshi ya Bolton dhidi ya Venezuela ni ya udhalilishaji

    Mar 04, 2019 23:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameyataja matamshi yaliyotolewa na Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani dhidi ya Venezuela kuwa ni udhalilishaji kwa Amerika ya Latini.

  • Kiongozi wa upinzani Venezuela anakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela

    Kiongozi wa upinzani Venezuela anakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela

    Feb 27, 2019 04:34

    Juan Guaidó, kiongozi wa upinzani aliyejitangaza kuwa rais wa mpito wa Venezuela anaandamwa na kifungo cha miaka 30 jela.

  • Rais Maduro: Marekani sasa inafanya njama za kuanzisha vita Venezuela

    Rais Maduro: Marekani sasa inafanya njama za kuanzisha vita Venezuela

    Feb 27, 2019 01:15

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amesema kuwa hivi sasa serikali ya Marekani inafanya njama za kuwasha moto wa vita katika eneo la Amerika ya Latini hususan nchini Venezuela.

  • Tishio la kijeshi; kuendelea hatua zilizogonga mwamba za Marekani dhidi ya Venezuela

    Tishio la kijeshi; kuendelea hatua zilizogonga mwamba za Marekani dhidi ya Venezuela

    Feb 26, 2019 23:13

    Sambamba na kuongezeka harakati za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ameituhumu Washington kwamba, inafanya njama za kuzusha mgogoro kwa shabaha ya kuanzisha vita katika eneo la Amerika ya Latini.

  •  Amir-Abdollahian: Marekani inataka kuzusha machafuko nchini Venezuela

    Amir-Abdollahian: Marekani inataka kuzusha machafuko nchini Venezuela

    Feb 25, 2019 23:07

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amelaani hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, Washington inataka kuiondoa madarakani serikali halali na kuitumbukiza nchi hiyo katika vurugu na machafuko.

  • Marekani yadai siku za Maduro kuwa madarakani Venezuela zinahesabika

    Marekani yadai siku za Maduro kuwa madarakani Venezuela zinahesabika

    Feb 25, 2019 00:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonya kuwa, Washington itaendelea kuisakama na kuishinikiza serikali ya Venezuela hadi ifahamu kuwa siku zake za kutawala zinahesabika.

  • Iran kutuma misaada Venezuela

    Iran kutuma misaada Venezuela

    Feb 25, 2019 00:50

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kutuma msaada wa dawa na vifaa vya kitiba Venezuela, nchi ambayo imekuwa ikikabiliwa na njama za mababeru wakiongozwa na Marekani ambao wanataka kuipindua serikali ya Rais Nicolas Maduro.

  • Maduro: Wananchi wa Venezuela watasimama imara kupambana na madola ya kibeberu

    Maduro: Wananchi wa Venezuela watasimama imara kupambana na madola ya kibeberu

    Feb 23, 2019 13:01

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa serikali ya Caracas kwa ushirikiano na wananchi wa nchi hiyo watasimama kidete kupambana na madola ya kibeberu na hawatorudi nyuma katika suala hilo.

  • Venezuela yatoa mwito wa kuungwa mkono na UN kukabiliana na

    Venezuela yatoa mwito wa kuungwa mkono na UN kukabiliana na "Hujuma ya Kijeshi"

    Feb 21, 2019 21:39

    Ofisi ya uwakilishi ya Venezuela katika Umoja wa Mataifa imewaalika mabalozi wa nchi 46 wanacjama kushiriki kikao ambacho lengo lake ni kuutaka umoja huo utimize wajibu wake wa kupinga vitisho vya uanzishaji "hujuma ya kijeshi".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS