Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita

  • Theresa May: Siasa za Uingereza, US za kuingilia masuala ya nchi nyingine zimefeli

    Theresa May: Siasa za Uingereza, US za kuingilia masuala ya nchi nyingine zimefeli

    Jan 27, 2017 04:42

    Waziri Mkuu wa Uingereza amekosoa sera za nchi za Magharibi za kuingilia masuala ya ndani ya nchi zinazojitawala na ametoa wito wa kukomeshwa suala hilo.

  • Wamagharibi: Uwezekano wa kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia ni mkubwa

    Wamagharibi: Uwezekano wa kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia ni mkubwa

    Jan 07, 2017 23:42

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa kwenye nchi za Magharibi unaonesha kuwa, watu wengi wa nchi hizo wanaamini kwamba Vita vya Tatu vya Dunia vimekaribia na kwamba mapigano makali ya pande zote yanaijongelea dunia hivi sasa.

  • "Yumkini Marekani na Russia zikaingia vitani ndani ya siku 20 zijazo"

    Jan 01, 2017 04:30

    Marekani ipo katika ncha ya kungia kwenye vita na Russia katika kipindi cha siku 20 zijazo.

  • Kuundwa kamati ya mazungumzo ya kitaifa; hatua moja mbele ya kurejesha amani na utulivu Sudan Kusini

    Kuundwa kamati ya mazungumzo ya kitaifa; hatua moja mbele ya kurejesha amani na utulivu Sudan Kusini

    Dec 24, 2016 00:16

    Kuendelea mgogoro nchini Sudan Kusini, kuongezeka machafuko na wahanga wa machafuko hayo kwa upande mmoja, na kwa upande mwingine, kufanyika juhudi kieneo na kimataifa za kukomesha mauaji nchini humo, vimemfanya Rais Salva Kiir achukue hatua ya kuunda "Kamati ya Mazungumzo ya Kitaifa" kwa lengo la kuhitimisha mgogoro huo.

  • Iran kuwatibu waliojeruhiwa katika hujuma ya kinyama ya Saudia nchini Yemen

    Iran kuwatibu waliojeruhiwa katika hujuma ya kinyama ya Saudia nchini Yemen

    Oct 11, 2016 23:58

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kuwapokea na kuwatibu waliojeruhiwa hivi karibuni katika hujuma ya kikatili ya ndege za kivita za Saudia dhidi ya watu waliokuwa wamekusanyika katika mazishi nchini Yemen.

  • Watoto ni waathirika wa hujuma ya Saudia na waitifaki wake nchini Yemen

    Watoto ni waathirika wa hujuma ya Saudia na waitifaki wake nchini Yemen

    Oct 06, 2016 04:06

    Hujuma za ndege za kivita za Saudi Arabia na waitifake wake Yemen, mbali na kuwaua maelfu ya raia wa nchi hiyo na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola kwa miundo mbinu ya nchi hiyo, pia zimesababisha zaidi ya watoto milioni mbili Wayemen kukosa masomo.

  • UN yalaani hujuma za Saudia dhidi ya makazi ya raia magharibi mwa Yemen

    UN yalaani hujuma za Saudia dhidi ya makazi ya raia magharibi mwa Yemen

    Sep 23, 2016 10:46

    Umoja wa Mataifa umelaani hujuma ya ndege za Saudi dhidi ya makazi ya raia magharibi mwa Yemen na katika mkoa wa pwani wa Hudaydah ambapo idadi kubwa ya raia wameuawa.

  • Saudi Arabia yashadidisha mashambulio dhidi ya shule na makazi ya raia Yemen

    Saudi Arabia yashadidisha mashambulio dhidi ya shule na makazi ya raia Yemen

    Sep 15, 2016 03:08

    Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumatano asubuhi ziliendelea kudondosha mabomu katika maeneo ya raia nchini Yemen kwa kushambulia eneo la Aal Aqab katika mji wa Sahar katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuhusika jeshi la Sudan Kusini katika machafuko

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuhusika jeshi la Sudan Kusini katika machafuko

    Sep 09, 2016 08:49

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, jeshi la Sudan Kusini lina mkono katika machafuko yanayojiri nchini humo.

  • UNICEF: Watoto milioni 50 wamekimbia makwao duniani

    UNICEF: Watoto milioni 50 wamekimbia makwao duniani

    Sep 07, 2016 09:02

    Karibu watoto milioni 50 duniani wamekimbia makazi yao, zaidi ya nusu ya idadi hiyo ikiwa ni kutokana na mizozo na mapigano kwenye nchi zao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS