-
Mapigano ya kuwania madaraka baina ya majenerali yaingia siku ya pili nchini Sudan
Apr 16, 2023 10:26Mapigano kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya Radiamali ya Haraka yameingia siku ya pili, huku milipuko ikisikika tangu alfajiri ya leo, Jumapili, karibu na Mji wa Michezo, kusini mwa mji mkuu, Khartoum.
-
Kuwa wakimbizi mamilioni ya watu duniani ni matokeo ya vita vya Marekani baada ya Septemba 11
Apr 10, 2023 11:46Vita vilivyoanzishwa na Marekani baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini humo yamepelekea zaidi ya watu milioni 37 duniani kuwa wakimbizi.
-
Seneti ya Marekani yafuta kibali cha Pentagon kuhusu oparesheni za kijeshi Iraq
Apr 01, 2023 03:13Seneti ya Marekani Jumatano wiki hii ilihitimisha kibali ilichokuwa imekitoa kwa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) mwaka 1999 na 2002 kwa ajili ya vita huko Iraq na imepasisha uamuzi wa kufutwa kibali cha Pentagon kwa ajili ya kutekeleza oparesheni za kijeshi huko Iraq bila ya kuhitaji idhini ya Kongresi.
-
Maandamano dhidi ya vita katika nchi za Ulaya
Feb 27, 2023 11:44Sambamba na kuendelea vita nchini Ukraine na hali mbaya ya kiuchumi na kijamii katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi barani humo wamefanya maandamano katika nchi kadhaa wakipinga sera za nchi za Magharibi na kuingilia kati vita vya Ukraine.
-
Mwito wa Russia wa kufuatiliwa jinai za Marekani na Uingereza nchini Iraq
Feb 10, 2023 04:06Vasily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Jumatano ya juzi na ikiwa ni siku tatu baada ya kumbukumbu ya mwaka wa uongo mkubwa wa Marekani dhidi ya Iraq alisema kuwa, lazima watenda jinai Wamarekani na Waingereza wapandishwe kizimbani kwa jinai zao nchini humo.
-
Jenerali Mmarekani atabiri vita na China mwaka 2025, anawaambia maafisa wajitayarishe
Jan 29, 2023 02:36Jenerali wa nyota nne wa Jeshi la Wanahewa la Marekani ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea mzozo wa kijeshi kati yake na China kuhusu eneo la Taiwan mapema mwaka 2025, na hivyo amewataka makamanda kushinikiza vikosi vyao kufikia utayari wa juu zaidi kwa operesheni za kijeshi.
-
Wasiwasi kuhusu hasara za Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 05, 2022 07:46Baada ya kupita takriban miezi 10 tangu kuanza vita vya Ukraine na thari zake mbaya, mkuu wa Baraza la Ulaya amekiri kwamba, nchi za bara hilo zimepata hasara zaidi katika vita hivyo kuliko Marekani.
-
Sweden yathibitisha: Bomba la gesi la Nord Stream liliharibiwa kwa makusudi, vita vya nishati vyapamba moto
Nov 20, 2022 02:35Tangu kuanza kwa vita vya Ukraine, mahusiano kati ya Russia na nchi za Magharibi yameambatana na mizozo na mivutano mingi, haswa katika sekta ya nishati, kwa kadiri kwamba usafirishaji wa gesi kupitia bomba kuu la usafirishaji wa gesi kutoka Russia kwenda Ulaya lijulikanalo kama "Nord Stream", umesimamishwa kwa miezi kadhaa iliyopita kutokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uvujaji wa gesi.
-
Afrika mhanga wa matokeo na taathira ya migogoro ya kimataifa
Oct 17, 2022 05:48Akthari ya mataifa ya Afrika ambayo katika miongo ya hivi karibuni yalifanya hima kubwa ya kujenga miundomsingi yao ya kiuchumi kwa minajili ya kuboresha hali ya uchumi wao, filihali yanahesabiwa kuwa wahanga wakubwa zaidi wa matukio ya sasa ulimwenguni.
-
Kushadidi mgogoro nchini Libya kwa kuanza tena vita na mapigano makali
Aug 29, 2022 13:11Kufuatia kushadidi mzozo wa kisiasa nchini Libya kati ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Abdul Hamid al-Dbeibeh na serikali mpya iliyopewa mamlaka na Bunge inayoongozwa na Fathi Bashagha, mapigano yameanza upya kati ya vikosi vya pande hizo mbili katika mji mkuu Tripoli.