-
Ripoti: Miamala ya serikali ya Trump kwa wahajiri, ni ya shari, kidhalimu na isiyo ya kibinaadamu
May 01, 2018 09:37Gazeti la Knoxville Daily la nchini Marekani limekosoa miamala ya serikali ya nchi hiyo kuwahusu wahajiri na kuweka wazi kwamba miamala hiyo ni ya shari, kidhalimu na isiyo ya kibinaadamu.
-
Ripoti: Wahajiri wa Kiafrika walioko US wamesoma kuliko Wamarekani wenyewe
Apr 24, 2018 22:01Utafiti uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew umeonyesha kuwa, kuna mwanya mkubwa wa kiwango cha elimu kati ya wahajiri wa Kiafrika wanaoishi Marekani na raia wa asili wa nchi hiyo.
-
Wahajiri 11 wa Kiafrika wamekufa maji katika pwani ya Libya
Apr 23, 2018 03:15Kwa akali wahajiri 11 wa Kiafrika wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti yao kuzama katika maji ya pwani ya magharibi mwa Libya, wakati wakiwa safarini kuelekea Ulaya.
-
HRW: Mamluki wa Imarati wanawabaka wahajiri wa Kiafrika Yemen
Apr 18, 2018 03:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mamluki wanaofadhiliwa na kuungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen wanawabaka na kuwalawiti wahajiri wa kike na kiume raia wa Afrika katika nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Netanyahu afuta makubaliano na UN kuhusu wahajiri wa Kiafrika
Apr 03, 2018 21:59Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amebatilisha makubaliano kati ya Tel Aviv na Umoja wa Mataifa, kuhusu kupelekwa katika nchi za Magharibi wahajiri wa Kiafrika wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
-
Algeria imewarejesha nyumbani wahajiri elfu 27 wa Kiafrika
Mar 23, 2018 02:49Serikali ya Algeria imewarejesha katika nchi zao makumi ya maelfu ya wahajiri wa Kiafrika waliokuwa wamemiminika katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Kikao cha kimataifa cha kupambana na magendo ya wahajiri huko Niger
Mar 17, 2018 23:02Kikao cha kimataifa cha kupambana na magendo ya wahajiri kimefanyika huko Niger kwa kuhudhuriwa na viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na wa nchi kadhaa za Ulaya. Mohammed Bazoum Waziri wa Mambo ya Ndani wa Niger amesema kwenye kikao hicho kuwa taathira za mapambano hayo zitaongezeka kwa kiasi kikubwa iwapo kutakuwepo mashirikiano ya kiusalama katika ngazi ya kitaifa na kieneo.
-
Jeshi la Libya lawapa wahajiri wa Kiafrika muda wa siku 9 wawe wameshatoka nchini humo
Mar 09, 2018 00:15Jeshi la taifa la Libya jana (Alkhamisi) liliwapa wahajiri wa Kiafrika muda wa siku tisa wahakikishe wameshaondoka katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Wahajiri wa Kiafrika waandamana Italia kupinga mauaji ya Mwafrika
Mar 07, 2018 01:27Wahajiri wa Kiafrika wamefanya maandamano katika mji wa Florence nchini Italia wakipiga nara za kulaani ubaguzi wa rangi na kupinga mauaji ya mhajiri wa Kiafrika yaliyofanywa na raia wa Italia.
-
Wahajiri Waafrika huko Israel wafanya maandamano wakitaka kuachiliwa huru wenzao
Feb 23, 2018 11:42Kufuatia hatua ya utawala haramu wa Kizayuni ya kuwatimua kwa nguvu wahajiri wa Kiafrika katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel, mamia ya wahajiri hao wamekuwa wakifanya maandamano mtawalia mjini Tel Aviv kulalamikia hatua ya utawala huo ya kuwaweka jela wahajiri wenzao.