Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wahajiri

  • UN: Wahajiri 22 wa Ethiopia watoweka baada ya kuzamishwa baharini

    UN: Wahajiri 22 wa Ethiopia watoweka baada ya kuzamishwa baharini

    Feb 09, 2018 22:06

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema wahajiri 22 raia wa Ethiopia wanahofiwa kufa maji baada ya kutupwa baharini, katika pwani ya Yemen.

  • Makumi ya miili ya wahajiri yapatikana katika pwani ya Morocco

    Makumi ya miili ya wahajiri yapatikana katika pwani ya Morocco

    Feb 04, 2018 13:05

    Serikali ya Uhispania imetangaza habari ya kupatikana kwa makumi ya maiti za wahajiri katika maji ya pwani ya Morocco.

  • IOM: Wahajiri 30 wa Kiafrika wamekufa maji katika pwani ya Yemen

    IOM: Wahajiri 30 wa Kiafrika wamekufa maji katika pwani ya Yemen

    Jan 27, 2018 04:20

    Kwa akali wahajiri 30 wa Kiafrika wameripotiwa kufariki dunia baada ya kuzama maji katika pwani ya Yemen, wakati wakielekea Djibouti.

  • Wahajiri wengine 1400 waokolewa katika maji ya pwani ya Italia na Uhispania

    Wahajiri wengine 1400 waokolewa katika maji ya pwani ya Italia na Uhispania

    Jan 17, 2018 04:29

    Kikosi cha gadi ya pwani ya Italia kimetangaza kuokoa wahajiri 1400 katika maji ya bahari ya Mediterrania.

  • Dunia yaghadhabishwa na maneno machafu ya Trump dhidi ya wahajiri

    Dunia yaghadhabishwa na maneno machafu ya Trump dhidi ya wahajiri

    Jan 12, 2018 10:32

    Asasi za kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zimelaani matamshi machafu yaliyojaa chuki, kejeli na dharau yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipokuwa akiashiria wahajiri kutoka nchi kadhaa duniani hususan za Afrika wanaoenda kutafuta hifadhi Marekani.

  • Libya yawatia mbaroni wahajiri 81 kutoka Somalia, Ethiopia na Eritrea

    Libya yawatia mbaroni wahajiri 81 kutoka Somalia, Ethiopia na Eritrea

    Jan 12, 2018 10:15

    Vyombo vya usalama mashariki mwa Libya vimewakamata makumi ya wahajiri raia wa Somalia, Eritrea na Ethiopia, ambao walikwepa mtego wa magendo ya binadamu.

  • Wahajiri 100 wahofiwa kufa maji katika Bahari ya Mediterranean

    Wahajiri 100 wahofiwa kufa maji katika Bahari ya Mediterranean

    Jan 10, 2018 12:26

    Jeshi la Majini la Libya limetangaza kuwa yumkini wahajiri 100 waliotoweka katika ajali ya boti katika Bahari ya Mediterranean wakiwa safarini kulekea Ulaya, wamekufa maji.

  • Wahajiri 25 waaga dunia katika ajali ya boti pwani ya Libya

    Wahajiri 25 waaga dunia katika ajali ya boti pwani ya Libya

    Jan 07, 2018 04:20

    Kwa akali wahajiri 25 wamekufa maji baada ya boti yao kuzama wakiwa katika safari ya kwenda Ulaya, katika bahari ya Mediterania, katika pwani ya Libya.

  • Rwanda pia yakanusha taarifa za kukubaliana na Israel kuwapokea wahajiri

    Rwanda pia yakanusha taarifa za kukubaliana na Israel kuwapokea wahajiri

    Jan 06, 2018 00:32

    Serikali ya Rwanda imekanusha taarifa za kukubali kuwapokea maelfu ya wahajiri wa Kiafrika kama sehemu ya mpango uliofikiwa baina yake na utawala wa Kizayuni wa Israel, muda mfupi baada ya Uganda kukabidhisha madai hayo ya Tel Aviv.

  • Israel yawatimua wahajiri 38,000 wa Kiafrika

    Israel yawatimua wahajiri 38,000 wa Kiafrika

    Jan 04, 2018 10:16

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kutekeleza mpango wa kuwarejesha nchini kwao kwa nguvu makumi ya maelfu ya Waafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS