-
Raia 3 wa Ethiopia wafia katika kambi ya kuzuilia wahajiri Saudia
Oct 02, 2020 10:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza habari ya kupoteza maisha wahamiaji watatu wa Kiethiopia ambao walikuwa wanashikiliwa katika mazingira yasiyo ya kibinadamu nchini Saudi Arabia.
-
Wahajiri 16 wafariki dunia baada ya boti yao kughariki pwani ya Libya
Sep 26, 2020 12:14Watu wasiopungua 16 wamefariki dunia katika Bahari ya Mediterania baada ya boti yao kuzama, huko pwani ya Libya.
-
Ethiopia kuwarejesha nyumbani maelfu ya wahajiri kutoka Saudia kwa kuhofia maisha yao
Sep 18, 2020 10:40Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itawarejesha nyumbani wahajiri karibu 2,000 kutoka Saudi Arabia katika wiki zijazo, kutokana na wasiwasi mkubwa wa jamii ya kimataifa juu ya hali mbaya inayoshuhudiwa katika kambi za wahamiaji nchini humo.
-
Mamia ya wahajiri wa Kiethiopia wauawa kwa kupigwa risasi na askari wa Saudia
Aug 14, 2020 02:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa makumi ya wahajiri wa Kiethiopia waliokimbia vita kaskazini mwa Yemen wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa mpakani wa Saudi Arabia.
-
Wahajiri 40 wafariki dunia baada ya boti yao kughariki pwani mwa Mauritania
Aug 07, 2020 06:46Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, wahajiri 40 wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kughariki katika maji ya pwani mwa Mauritania.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya wahajiri 30 Libya
May 30, 2020 08:13Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa mauaji ya makumi ya wahajiri huko nchini Libya.
-
Uhusiano mzuri wa Iran na Afghanistan katika kivuli cha mawasiliano endelevu
May 29, 2020 09:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulika masuala ya sheria amesema kuwa, ili kuzuia magendo ya binaadamu na safari haramu, Tehran imetiliana saini makubaliano mapya na serikali ya Afghanistan.
-
"Wahajiri" 60 wapatikana wameaga dunia ndani ya lori Msumbiji
Mar 26, 2020 11:27Miili zaidi ya 60 imepatikana ndani ya lori la mizigo katika mkoa wa Tete, kaskazini magharibi mwa Msumbiji.
-
Wahajiri 400 wakamatwa wakijaribu kwenda Ulaya na kurejeshwa Libya
Mar 16, 2020 02:33Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema Gadi ya Pwani ya Libya imewakamata wahajiri 400 wakiwa safarini kuelekea Ulaya na kuwarejesha katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Seneti inayohodhiwa na Warepublican yamtoa hatiani Trump na kufumbia macho utumiaji wake mbaya wa madaraka
Feb 06, 2020 03:59Rais Donald Trump wa Marekani ametolewa hatiani dhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili za kutumia vibaya madaraka kufuatia uamuzi uliopitishwa na Seneti ya nchi hiyo inayohodhiwa na chama chake cha Republican.