-
Kuendelea mashinikizo dhidi ya mbunge mwanamke Muislamu wa Kongresi ya Marekani
Mar 04, 2019 04:07Katika muendelezo wa mashinikizo dhidi ya Ilhan Omar, mbunge Muislamu wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, kwa mara nyingine, wafuasi na waungaji mkono wa Rais Donald Trump wa Marekani wamemtusi mbunge huyo kwa kubandika picha zinazomtambulisha yeye kama gaidi.
-
Iran yazilaumu nchi zinazounga mkono vikwazo vya Marekani dhidi yake
Mar 03, 2019 12:22Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya sheria na ya kimataifa amesema kuwa nchi ambazo zinaunga mkono vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran zinavunja roho ya mshikamano kati ya Waislamu.
-
Ilhan Omar: Misimamo yangu dhidi ya Israel inatafsiriwa kuwa ni chuki dhidi ya Mayahudi
Mar 02, 2019 12:29Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema, anasikitika kuona misimamo yake dhidi ya utawala wa Israel inatafsiriwa kuwa ni chuki dhidi ya Mayahudi.
-
Uturuki yaitaka China ifunge vituo vya kuwazuilia Waislamu wa Uighur
Feb 10, 2019 09:54Serikali ya Uturuki imetaja miamala ya China kwa Waislamu wa jamii ya Uighur kama fedheha kwa ubinadamu, huku ikiitaka ifunge vituo vilivyotengwa makhsusi kwa ajili ya kuwazuilia watu wa jamii hiyo ya walio wachache.
-
Siku ya Hijabu Duniani yaadhimishwa katika mji mkuu wa Uingereza
Feb 03, 2019 00:14Wanawake Waislamu nchini Uingereza wamekusanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, London kuadhimisha Siku ya Hijabu Duniani (World Hijab Day).
-
Canada yapinga kuundwa 'Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu'
Feb 01, 2019 23:16Waziri Mkuu wa mkoa wa Quebec nchini Canada amepinga mwito wa kuundwa siku ya kitaifa ya kulaani jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
-
Mbunge mwanamke Muislamu aifanya Kongresi ya Marekani irekebishe sheria iliyodumu kwa miaka 181
Jan 07, 2019 04:17Ilhan Abdullahi Omar, mbunge mwanamke Muislamu katika Kongresi ya Marekani ameleta mabadiliko makubwa kwenye bunge hilo baada ya kuwezesha kurekebishwa sheria iliyodumu kwa muda wa miaka 181 inayopiga marufuku kuvaa kofia au kitambaa cha kichwa ndani ya ukumbi wa bunge hilo.
-
HRW yataka kushtakiwa askari wanaowakandamiza Waislamu Nigeria
Dec 12, 2018 09:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa mwito wa kufunguliwa mashitaka wanajeshi wa Nigeria wanaowakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu
Nov 27, 2018 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonesha kughadhabishwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba taifa hili linanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote duniani.
-
Waislamu Canada wataka 'Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu'
Nov 23, 2018 04:22Waislamu nchini Canada wamesema jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu zimeshtadi huku wakiitaka serikali izindue mpango mkakati wa kuziunganisha jamii za nchi hiyo.