-
Kijana mwenye chuki na Uislamu nchini Uingereza awatishia kifo Waislamu
Feb 20, 2018 01:02Ikiwa ni katika kuendelea chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) nchini Uingereza na hujuma dhidi ya misikiti na waumini wa Kiislamu wanaotekeleza ibada ya Sala, kijana mmoja wa nchi hiyo ametishia kwamba atawaua Waislamu.
-
Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui
Feb 16, 2018 10:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
-
Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui
Feb 16, 2018 10:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
-
Mgombea Mwislamu wa umeya, Marekani atishiwa kifo
Feb 15, 2018 12:35Mgombea wa kike anayewania kuwa meya wa kwanza Mwislamu nchini Marekani amesema ametishiwa kuuawa kama ataendelea kuwa mgombea katika kinyang'anyiro hicho.
-
Ubaguzi wa vikosi vya usalama vya Ufaransa dhidi ya Waislamu na Wafaransa wenye asili ya Afrika
Jan 27, 2018 04:33Vikosi vya usalama vya Ufaransa vimekuwa vikiwabagua Waislamu na raia wa nchi hiyo wenye asili ya Afrika ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za vikosi hivyo za kuwabagua raia wa nchi hiyo ya barani Ulaya.
-
Msichana mdogo Muislamu ashambuliwa kutokana na Hijabu yake nchini Canada
Jan 13, 2018 04:18Polisi wa mjini Toronto Canada wametangaza habari ya kushambuliwa binti mmoja mdogo Muislamu kutokana na kuvaa Hijabu.
-
Hizbullah: Mapambano ndio chaguo pekee la Wapalestina na Waislamu dhidi ya Marekani na Israel
Jan 01, 2018 00:51Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, njia pekee ya Wapalestina na Waislamu kukabiliana na utawala haramu wa Israel na Marekani ni muqawama na mapambano dhidi ya tawala hizo.
-
Kituo cha Kiislamu nchini Sweden chapigwa bomu na magaidi wanaopinga Uislamu
Dec 26, 2017 23:11Duru za habari nchini Sweden zimetangaza kuwa, kituo cha Kiislamu nchini humo kimeshambuliwa kwa bomu la kutengenezwa kwa mkono.
-
Haniya: Quds ni Mji Mkuu wa Palestina na Waislamu wote
Dec 20, 2017 04:43Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema kuwa, "Quds Tukuf (Jerusalem) ni mji mmoja usioweza kugawanywa pande mbili za Mashariki na Magharibi na ni mji mkuu wa Wapalaestina na Waislamu wote."
-
Hizbullah ya Lebanon: Marekani ni adui mkuu wa Waarabu na Waislamu
Dec 18, 2017 11:04Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, hii leo ulimwengu umefahamu na kudiriki kwamba, dola la Marekani ndio adui mkuu wa Waarabu na Waislamu.