Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • UN yamkosoa Rais Trump wa Marekani kwa kueneza chuki dhidi ya Uislamu

    UN yamkosoa Rais Trump wa Marekani kwa kueneza chuki dhidi ya Uislamu

    Dec 02, 2017 00:43

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Wa Umoja wa Mataifa, Zeid Ra'ad Al Hussein amekosoa hatua ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump aliyesambaza taswira zilizo na chuki dhidi ya Uislamu kupitia akaunti yake ya Twitter.

  • Papa Francis akataa kuwataja 'Waislamu wa Rohingya' akiwa Myanmar

    Papa Francis akataa kuwataja 'Waislamu wa Rohingya' akiwa Myanmar

    Nov 28, 2017 12:48

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amekataa kuwataja Waisalmu wa Rohingya alipohutubu leo akiwa Myanmar pamoja na kuwa jamii hiyo ya waliowachache inakabiliwa na maangamizi ya kimbari nchini humo.

  • 'Iran ni nchi pekee inayounga mkono ukombozi wa taifa la Palestina'

    'Iran ni nchi pekee inayounga mkono ukombozi wa taifa la Palestina'

    Nov 10, 2017 23:43

    Msemaji wa Baraza la Maulamaa wa Palestina nchini Lebanon amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo nchi pekee inayounga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina na kwamba baraza hilo liko tayari kuungana na nchi zote za Kiarabu na Kiislamu kwa ajili ya ukombozi wa Palestina:

  • Kuendelea uchukuaji hatua za kikatili na za ukandamizaji dhidi ya Waislamu Nigeria

    Kuendelea uchukuaji hatua za kikatili na za ukandamizaji dhidi ya Waislamu Nigeria

    Nov 07, 2017 23:18

    Katika muendelezo wa hatua kandamizi zinazochukuliwa dhidi ya Waislamu wa Nigeria, watu wasiopungua watatu wameuliwa baada ya polisi kuwafyatulia risasi wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.

  • Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu

    Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu

    Nov 05, 2017 23:15

    Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.

  • Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya

    Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya

    Oct 29, 2017 12:32

    Ayatullah Makarim Shirazi ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kiislamu nchini Iran ameeleza kusikitishwa kwake na hali mbaya inayozidi kuwakabili Waislamu wa jamii ya Rohingya huku akiwataka Waislamu kote duniani kutofumbia macho jinai wazofanyia ndugu zao nchini Myanmar.

  • Wanawake Waislamu Quebec, Canada wapigwa marufuku kuvaa niqab

    Wanawake Waislamu Quebec, Canada wapigwa marufuku kuvaa niqab

    Oct 19, 2017 04:19

    Jimbo la Quebec nchini Canada limepaisha sheria za kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa Hijabu yenye kufunika uso mzima maarufu kama niqab wakiwa wanatumia huduma za umma.

  • Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya

    Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya

    Oct 13, 2017 10:49

    Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.

  • Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa maji katika ajali ya boti

    Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa maji katika ajali ya boti

    Oct 09, 2017 04:38

    Kwa akali Waislamu 12 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.

  • HRW: Jeshi la Myanmar linawaua na kuwanajisi Waislamu wa Myanmar

    HRW: Jeshi la Myanmar linawaua na kuwanajisi Waislamu wa Myanmar

    Oct 05, 2017 04:26

    Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limesema jeshi la Myanmar linawaua kiholela na kuwanajisi Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS