Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Waislamu wa Shia kote duniani waadhimisha Siku ya Tasu'a

    Waislamu wa Shia kote duniani waadhimisha Siku ya Tasu'a

    Sep 30, 2017 04:48

    Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameungana na Waislamu wa Kishia kote duniani katika maadhimisho ya Siku ya Tasu'a, wakifanya maombelezo ya kukumbuka mapambano ya Karbala yaliyopelekea kuuawa shahidi Imam Hussein AS.

  • Waislamu 14 wa Rohingya wafa maji baada ya boti yao kuzama

    Waislamu 14 wa Rohingya wafa maji baada ya boti yao kuzama

    Sep 28, 2017 10:53

    Kwa akali Waislamu 14 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.

  • UNHCR: Misaada zaidi inahitajika kwa ajili ya Waislamu Warohingya

    UNHCR: Misaada zaidi inahitajika kwa ajili ya Waislamu Warohingya

    Sep 26, 2017 12:31

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuongeza mara mbili juhudi za kuwasaidia wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya umati Myanmar na kupata hifadhi nchini Bangladesh.

  • UNHCR: Waislamu Warohingya wa Myanmar wanahitajia misaada ya kibinadamu

    UNHCR: Waislamu Warohingya wa Myanmar wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Sep 25, 2017 01:10

    Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amesema kuwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchini Myanmar wanahitajia misaada ya kibinadamu na kwamba, Waislamu hao wamevumilia mateso na madhara mengi ya kisaikolojia.

  • Ongezeko la malalamiko ya Waislamu wa Ulaya juu ya ubaguzi na miamala mibaya

    Ongezeko la malalamiko ya Waislamu wa Ulaya juu ya ubaguzi na miamala mibaya

    Sep 22, 2017 04:08

    Matokeo mapya ya uchunguzi wa Shirika la European Union Agency for Fundamental Rights (FRA) unaonyesha kwamba, idadi ya Waislamu ambao wanabaguliwa na kufanyiwa miamala mibaya katika jamii ya Ulaya, imeongezeka sana.

  • Kuhusu Waislamu wa Rohingya, Suu Kyi ni mdanganyifu

    Kuhusu Waislamu wa Rohingya, Suu Kyi ni mdanganyifu

    Sep 20, 2017 21:57

    Wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya wanaoishi makambini nchini Bangladesh wamesema hotuba aliyotoa Aun San Suu Kyi Waziri wa Mambo ya Nje na ambaye pia ni Mshauri Mkuu wa Serikali ya Myanmar ni ya udanganyifu.

  • HRW: Jeshi la Myanmar liadhibiwe kwa kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu

    HRW: Jeshi la Myanmar liadhibiwe kwa kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu

    Sep 18, 2017 09:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetaka vikwazo vikali vya kimataifa viwekewe Jeshi la Myanmar kutokana na kampeni yake ya kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

  • Mateso ya Waislamu wa Rohingya katika picha

    Mateso ya Waislamu wa Rohingya katika picha

    Sep 17, 2017 06:31

    Hizi hapa chini ni baadhi ya picha zinazoonesha sehemu ndogo to ya matezo makubwa yanayowatesa Waislamu wa jamii ya Rohingya kutokana na ukatili na unyama wa kuchupa mipaka wanaofanyiwa na mabudha

  • FAO: Waislamu laki moja Warohingya walioko Bangladesh wanahitajia msaada wa haraka wa chakula

    FAO: Waislamu laki moja Warohingya walioko Bangladesh wanahitajia msaada wa haraka wa chakula

    Sep 15, 2017 00:03

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, Waislamu laki moja wa jamii ya Rohingya waliowasili nchini Bangladesh wanahitajia msaada wa haraka wa chakula.

  • UN kusaidia Waislamu Warohingya waliokimbia  Myanmar

    UN kusaidia Waislamu Warohingya waliokimbia Myanmar

    Sep 13, 2017 03:18

    Idadi ya Waislamu wa jamii Warohingya ambao wanakimbia mateso na mauaji huko Myanmar inaongezeka kila uchao katika hali ambayo, mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau wao wanaendelea kuhakikisha wanafikisha misaada ya dharura kwa wakimbizi hao ambao wengi wao ni Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS