Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Waislamu London watoa msaada wa chakula kwa mayatima

    Waislamu London watoa msaada wa chakula kwa mayatima

    Dec 18, 2016 11:15

    Waislamu katika mji mkuu wa Uingereza, London wamekusanya tani nyingi za chakula kwa ajili ya kuwasaidia mayatima na watoto wa mitaani katika kipindi hiki cha sherehe za kufunga mwaka.

  • Rais Rouhani awaasa Waislamu waungane dhidi ya njama za maadui

    Rais Rouhani awaasa Waislamu waungane dhidi ya njama za maadui

    Dec 15, 2016 11:05

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka Waislamu wote duniani waungane na kuimarisha umoja na mshikamano wao dhidi ya njama za maadui wanaotaka kuvunja umoja wa Waislamu kwa kuibua uhasama na mifarakano ya kimadhehebu.

  • HRW: Jeshi la Myanmar limeteketeza vijiji vya Waislamu Warohingya

    HRW: Jeshi la Myanmar limeteketeza vijiji vya Waislamu Warohingya

    Dec 13, 2016 12:43

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linasema kuna ushahidi unaoonyesha kuwa Jeshi la Myanmar limeteketeza vijiji vya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine.

  • Wamarekani walio wengi wakiri kwamba, Waislamu wa nchi hiyo wanabaguliwa

    Wamarekani walio wengi wakiri kwamba, Waislamu wa nchi hiyo wanabaguliwa

    Dec 11, 2016 04:26

    Utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa, Wamarekani walio wengi wanaamini kuwa, Waislamu wa nchi hiyo wamekuwa wakikabiliwa na vitendo vya ubaguzi nchini humo.

  • UN yataka Suu Kyi azuie mauaji ya Waislamu Myanmar

    UN yataka Suu Kyi azuie mauaji ya Waislamu Myanmar

    Dec 09, 2016 10:31

    Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa kiongozi asiye rasmi wa Myanmar Aung San Suu Kyi achukue hatua za kuzuia ukatili wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Barua ya wazi ya viongozi wa Kiislamu nchini Marekani kwa Donald Trump

    Barua ya wazi ya viongozi wa Kiislamu nchini Marekani kwa Donald Trump

    Dec 07, 2016 04:09

    Zaidi ya Waislamu 300 wa Marekani wameonyesha radiamali yao kwa matamshi ya chuki dhidi ya Uislamu ya Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump.

  • Kansela wa Ujerumani ataka kupigwa marufuku burqa

    Kansela wa Ujerumani ataka kupigwa marufuku burqa

    Dec 07, 2016 03:49

    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la burqa, linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu.

  • Wanaharakati na wabunge wa Kiislamu Uholanzi wapinga marufuku ya burqa

    Wanaharakati na wabunge wa Kiislamu Uholanzi wapinga marufuku ya burqa

    Dec 01, 2016 00:40

    Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu na wabunge wa Kiislamu nchini Uholanzi wamepinga vikali hatua ya Bunge la nchi hiyo kupiga marufuku vazi la stara la niqabu au burqa katika baadhi ya maeneo ya umma.

  • Waislamu Marekani walaani hujuma ya 'kigaidi' Ohio

    Waislamu Marekani walaani hujuma ya 'kigaidi' Ohio

    Nov 29, 2016 10:41

    Viongozi wa Kiislamu nchini Marekani wamelaani vikali kile vyombo vya usalama vimetaja kuwa hujuma ya kigaidi katika jimbo la Ohio, ambapo mwanafunzi mmoja wa Marekani mwenye asili ya Somalia aliwashambulia kwa kisu wanachuo wenzake.

  • Jumuiya ya haki za binadamu  Nigeria yatoa wito wa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Jumuiya ya haki za binadamu Nigeria yatoa wito wa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Nov 21, 2016 23:16

    Jumuiya ya Kutetea Haki za Binadamu ya Nigeria imetoa wito wa kuachiliwa huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS