Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Kuendelea kuuliwa Waislamu wa Myanmar na jeshi la nchi hiyo

    Kuendelea kuuliwa Waislamu wa Myanmar na jeshi la nchi hiyo

    Nov 17, 2016 23:35

    Taasisi ya Taifa ya Arakan Rohingya ARNO (Arakan Rohingya National Organisation) imetangaza kuwa, Waislamu wasiopungua 150 wameuliwa na wanajeshi wa Myanmar katika kipindi cha siku tano zilizopita katika mkoa wa Rakhin wa magharibi mwa nchi hiyo.

  • Kushambuliwa Waislamu na jeshi la Nigeria

    Kushambuliwa Waislamu na jeshi la Nigeria

    Nov 15, 2016 07:42

    Katika kuendelea vitendo vya mauaji vya jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu, kwa mara nyingine Waislamu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika wameshambuliwa na jeshi.

  • Jeshi la Myanmar laua makumi ya Waislamu wa Rohingya

    Jeshi la Myanmar laua makumi ya Waislamu wa Rohingya

    Nov 14, 2016 11:55

    Jeshi la Myanmar limeua makumi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika wimbi jipya la ukandamizaji unaofanyika nchini humo dhidi ya jamii hiyo ya waliowachache hususan katika mkoa wa Rakhine.

  • Mamia ya nyumba za Waislamu wa Myanmar zachomwa moto

    Mamia ya nyumba za Waislamu wa Myanmar zachomwa moto

    Nov 13, 2016 04:46

    Mamia ya nyumba za Waislamu wa Myanmar zimechomwa moto magharibi mwa nchi hiyo sambamba na kuendelea ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.

  • Waislamu Uingereza waelezea wasiwasi wao baada ya Trump kushinda urais Marekani

    Waislamu Uingereza waelezea wasiwasi wao baada ya Trump kushinda urais Marekani

    Nov 11, 2016 00:05

    Baraza la Waislamu nchini Uingereza limetangaza kuwa, lina wasiwasi mkubwa kutokana na Donald Trump kuibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais nchini Marekani.

  • Sisitizo la udharura wa kuweko umoja kati ya Waislamu

    Sisitizo la udharura wa kuweko umoja kati ya Waislamu

    Nov 07, 2016 00:47

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahul Bayt AS amesistiza kuhusu udharura wa kuimarishwa umoja wa Waislamu duniani.

  • Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini

    Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini

    Nov 04, 2016 12:20

    Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Nigeria wamekosoa vikali ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na vyombo vya usalama nchini humo na kusisitiza kuwa, dhulma hizo zimetokana na fikra za Kiwahabi.

  • Al Azhar yakosoa vikali wimbi la kutolewa fatwa bila ya sababu za maana

    Al Azhar yakosoa vikali wimbi la kutolewa fatwa bila ya sababu za maana

    Oct 30, 2016 00:24

    Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Kiislamu cha Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri amesem akuwa, hivi sasa dini tukufu ya Kiislamu imekumbwa na mashambulizi ya kila upande ya maadui na yote hayo yanatokana upotoshaji wa watu unaofanywa na baadhi ya makundi yenye welewa potofu kuhusu Uislamu.

  • Bakwata: Watanzania kunufaika na bidhaa zenye nembo

    Bakwata: Watanzania kunufaika na bidhaa zenye nembo "Halal"

    Oct 25, 2016 04:40

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema kila Mtanzania karibuni hivi atanufaika na bidhaa zenye nembo ya Halal, ambapo wapo mbioni kuijumuisha nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwenye orodha ya nchi 33 ambazo zinatumia bidhaa halali za vyakula na vinywaji.

  • Ongezeko kubwa la uhalifu wa chuki za kidini dhidi ya Waislamu nchini Marekani

    Ongezeko kubwa la uhalifu wa chuki za kidini dhidi ya Waislamu nchini Marekani

    Oct 24, 2016 02:48

    Ripoti mpya iliyotolewa inaonyesha kuwa, uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS