-
Ripoti: Wanajeshi wa Marekani wanapora mafuta ya Syria
Jul 02, 2020 12:10Wanajeshi wa Marekani wamepora shehena ya matrela 30 ya mafuta ya petroli kutoka visima vya mafuta vya Syria na kuyapeleka Iraq.
-
Mapatano ya Washington na Baghdad kuhusu kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq
Jun 12, 2020 07:46Kumefikiwa mapatano ya kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq. Mapatano hayo yamefikiwa Alhamisi katika mkutano uliofanyika baina ya Abdulkarim Hashemi Mustafa mwakilishi wa serikali ya Iraq na David Hale mwakilishi wa serikali ya Marekani.
-
Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani
Jun 07, 2020 11:55Uhusiano wa Marekani na Ujerumani katika mtazamo mpana wa kupungua uhusiano kati ya nchi za Ulaya na Marekani umekumbwa na mvutano hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump.
-
Mazungumzo ya kuondoka jeshi la Marekani nchini Iraq kuanza mwezi Juni
Apr 27, 2020 00:41Msemaji wa Mkuu wa Majeshi ya Iraq amesema kuwa, mazungumzo ya jinsi ya kuondoka majeshi ya Marekani katika ardhi ya nchi hiyo yataanza mwezi Juni mwaka huu.
-
Kuondoka askari wa Marekani katika kambi tatu za jeshi nchini Iraq, ni stratijia au taktiki?
Mar 31, 2020 03:46Wanajeshi wa Marekani wameondoka katika kambi ya K1 huko kaskazini mwa Iraq. Maudhui ya kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Iraq imekuwa suala na mjadala muhimu katika kipindi cha miezi mitatu ya mwaka huu wa 2020.
-
Congress ya Marekani: Madhara waliyopata wanajeshi wetu katika shambulizi la Iran Ain al Assad ni makubwa, huenda yakabakia milele
Feb 15, 2020 08:04Chombo cha habari cha Baraza la Congress la Marekani kimeonya kwamba matatizo ya ubongo waliyopata wanajeshi wa nchi hiyo katika shambulio la kulipiza kisasi lililofanywa na Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani ya Ain al Assad nchini Iraq ni makubwa na kuna hatari madhara hayo yakabakia kwa wananajeshi wa Marekani katika kipindi chote cha uhai wao.
-
Pentagon: Askari 109 wa Marekani walipatwa na ugonjwa wa ubongo katika shambulizi la makombora la Iran
Feb 11, 2020 06:59Ikiwa ni katika mwenendelezo wa kukiri juu ya ongezeko la idadi ya askari magaidi wa Marekani waliojeruhiwa katika shambulizi la makombora la Iran kwenye kambi ya jeshi la Marekani ya Ain Assad nchini Iraq, Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon imetangaza kuwa askari 109 wa nchi hiyo wamekumbwa na ugonjwa wa ubongo kutokana na shambulizi hilo.
-
Muungano wa 'Sairoon' kuchunguza mpango wa kuwatimua haraka askari wa Kimarekani nchini Iraq
Feb 04, 2020 14:12Muungano wa 'Sairoon' katika bunge la Iraq umeitisha kikao kikuu cha kitaifa kwa ajili ya kuchunguza mpango wa kuwatimua haraka askari wa Marekani kutoka katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Sadr aitisha maandamano ya "watu milioni moja" Iraq ya kulaani kuwepo kijeshi kwa Marekani
Jan 15, 2020 08:05Kiongozi wa Harakati ya Sadr nchini Iraq ametoa mwito kwa wananchi kufanya maandamano ya watu wasiopungua milioni moja ya kulaani kuwepo kijeshi Marekani nchini humo.
-
Bunge la Iraq lapitisha mpango wa kuwatimua askari wa jeshi la Marekani walioko nchini humo + Video
Jan 05, 2020 16:18Bunge la Iraq limepiga kura na kupitisha mpango uliopendekezwa na wabunge wa kuhitimisha makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Marekani na kuwataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo.