-
Uwepo wa askari wa Kimarekani Afghanistan, chanzo cha ukosefu wa ajira
Dec 05, 2019 01:21Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni nchini Afghanistan umeonyesha kwamba, uwepo wa askari vamizi wa Kimarekani ndio sababu ya kuongezeka kiwango cha ukosefu wa ajira kwa raia wa nchi hiyo.
-
Wanajeshi wa Marekani warejea kaskazini mashariki mwa Syria
Oct 29, 2019 02:54Mamia ya wanajeshi wa Marekani ambao hivi karibuni waliondoka kaskaizni mwa Syria na kuelekea Iraq wamerejea katika kambi zao za awali huku wakiwa na zana chungu nzima.
-
Kutuma Pentagon wanajeshi na zana mpya za kijeshi nchini Saudi Arabia; harakati ya kimaonyesho
Oct 13, 2019 02:24Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akidai kwamba anawaunga mono na kuwahami waitifaki wake katika eneo la Ghuba ya Uajemi. Katika uwanja huo, Saudi Arabia ikiwa mshirika mkuu wa Washingtn katika eneo hili, ina nafasi maalumu katika siasa za kikanda za serikali ya Trump.
-
Mamia ya wanajeshi wa Marekani na malori 250 yenye silaha waingia Syria
Jan 26, 2019 04:33Katika hali ambayo Washington inadai kuwa ina mpango wa kuondoa wanajeshi wake huko Syria; kundi moja linalofahamika kama Kundi la Kutetea Haki za Binadamu la Syria limeripoti habari kuhusu kuwasili nchini humo mamia ya wanajeshi wa Marekani wakiwa na makumi ya malori yenye silaha.
-
Bunge la Iraq lataka kutimuliwa nchini humo askari wa Marekani
Nov 11, 2018 13:32Mwanasiasa wa ngazi za juu wa Iraq amesema Bunge la nchi hiyo linatazamiwa kujadili hoja ya kuondoka kikamilifu wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu huku Baghdad ikiituhumu Washington kuwa inaingilia masuala yake ya ndani.
-
Askari 5 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
Jun 09, 2018 08:05Askari mmoja wa Marekani ameuawa huku wengine wanne wakijeruhiwa katika operesheni ya pamoja ya vikosi vya US na askari wa Umoja wa Afrika dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.
-
Russia: Kampeni ya US huko Afghanistan imefeli, iondoe askari wake
Aug 15, 2017 07:13Mjumbe maalumu wa Rais wa Russia nchini Afghanistan amesema kampeni na uwepo wa vikosi vya Marekani nchini Afghanistan haujawa na tija yeyote hadi sasa na kwa msingi huo Washington inafaa kuwaondoa wanajeshi wake nchini humo mara moja.
-
Askari 3 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
May 06, 2017 04:12Askari mmoja wa Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika operesheni ya pamoja ya US na jeshi la Somalia dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Iraq yaikatalia Marekani kuweka kambi zake za kijeshi nchini humo
Mar 29, 2017 13:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema kuwa nchi yake haiwezi kuiruhusu Marekani kuweka kambi zake za kijeshi katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Madai ya makosa ya kibinadamu, mbinu kuu ya kuhalalisha jinai za Marekani
Dec 01, 2016 12:08Tume ya uchunguzi ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imekiri rasmi kuwa ndege za kivita za nchi hiyo zilishambulia maeneo ya wanajeshi wa Syria huko Deir ez-Zor, mashariki mwa nchi hiyo.