-
Kenyatta amualika Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake
Nov 25, 2017 00:52Rais Uhuru Kenyatta amemualika 'ndugu yake' Raila Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake zikatazofanyika katika mji mkuu Nairobi Jumanne ijayo ya Novemba 28.
-
Taharuki Zimbabwe, Mugabe ang'ang'ania madaraka, AU na UN zatoa kauli
Nov 16, 2017 12:40Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye yuko katika ncha ya kuuzuliwa amekataa kuachia madaraka akisisitiza kuwa yeye ndiye kiongozi halali wa nchi hiyo.
-
Ruto: Uchaguzi mwingine Kenya utafanyika 2022, wala sio ndani ya siku 90
Oct 30, 2017 04:34Naibu wa Rais wa Kenya amesema uchaguzi mwingine wa rais utafanyika mwaka 2022 kwa mujibu ya miongozo ya Katiba na Sheria za Uchaguzi na wala sio ndani ya siku 90 kama anavyoshinikiza kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga.
-
Uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya uliogubikwa na wingu la ususiaji wa wapinzani
Oct 27, 2017 11:39Uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya ulifanyika hapo jana huku ukiwa umesusiwa na wapinzani wa serikali sambamba na kushuhudiwa mivutano ya kisiasa na hali ya wasiwasi nchini humo.
-
Wakenya washiriki uchaguzi wa rais wa marudio uliosusiwa na upinzani
Oct 26, 2017 04:41Wananchi wa Kenya waliotimiza masharti ya kupiga kura wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki uchaguzi wa marudio wa urais, ambao umesusiwa na viongozi na wafuasi wa upinzani.
-
Wabunge wa upinzani Uganda warejesha 'hongo' ya kurefusha uongozi wa Museveni
Oct 26, 2017 04:37Wabunge wanane wa upinzani wamerejesha kwenye hazina ya serikali fedha walizopokea kwa ajili ya kufanikisha muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.
-
Odinga: Wafuasi wetu wasiandamane siku ya uchaguzi wa marudio
Oct 24, 2017 11:35Kinara wa muungano wa upinzani NASA nchini Kenya amewataka wafuasi wa mrengo huo kutofanya maandamano wakati wa uchaguzi wa marudio wa urais unaotazamiwa kufanyika Alkhamisi wiki hii.
-
Ghasia zashtadi Uganda, Besigye na Wabunge wa upinzani wakamatwa
Oct 20, 2017 04:00Mtu mmoja ameuawa huku wengine sita wakiachwa na majeraha ya risasi na kulazwa hospitalini katika wilaya ya Rukungiri, kufuatia ghasia zilizotokana na maandamano ya kupinga mpango wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini Uganda.
-
Wapinzani Sudan Kusini wameituhumu serikali kuushambulia mji wa Aburok
Sep 13, 2017 23:24Wapinzani nchini Sudan Kusini wamevituhumu vikosi vya serikali kuwa vimeushambulia mji unaowahifadhi maelfu ya wakimbizi.
-
Vyama vya upinzani Angola vyaenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi
Sep 09, 2017 03:27Vyama vitatu vya upinzani nchini Angola vimewasilisha malalamiko mahakamani dhidi ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo hivi karibuni, ambapo chama tawala cha MPLA kilitangazwa kuibuka mshindi.