• Shirika la Nishati ya Atomiki Iran: Hakuna mada yoyote ya nyuklia nchini ambayo haijatolewa maelezo

    Shirika la Nishati ya Atomiki Iran: Hakuna mada yoyote ya nyuklia nchini ambayo haijatolewa maelezo

    Jun 14, 2022 03:40

    Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran AEOI limetangaza kuwa hakuna mada yoyote ya nyuklia nchini ambayo haijatolewa maelezo; na madai ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA yametokana na taarifa zisizo sahihi na za kubuni ulizopewa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ambao wenyewe unamiliki silaha za nyuklia.

  • Wabunge wa Iran: IAEA imepoteza itibari ya kiufundi

    Wabunge wa Iran: IAEA imepoteza itibari ya kiufundi

    Jun 13, 2022 06:28

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imesema hatua ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ya kupasisha azimio dhidi ya Iran imeonesha wazi kuwa taasisi hiyo ya Umoja wa Mataifa imepoteza itibari yake ya kiufundi.

  • Ripoti: Dunia kushuhudia ongezeko la akiba ya silaha za nyuklia

    Ripoti: Dunia kushuhudia ongezeko la akiba ya silaha za nyuklia

    Jun 13, 2022 05:18

    Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imeonya kuwa, akiba ya silaha hatari za nyuklia duniani inatazamiwa kuongezeka kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka michache ijayo.

  • Abdollahian: Azimio la IAEA dhidi ya Iran lilichochewa kisiasa

    Abdollahian: Azimio la IAEA dhidi ya Iran lilichochewa kisiasa

    Jun 12, 2022 03:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezikosoa vikali Marekani na nchi tatu za Ulaya za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, kwa kuwasilisha azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu mbele ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.

  • Russia: Azimio la IAEA dhidi ya Iran ni la kipumbavu

    Russia: Azimio la IAEA dhidi ya Iran ni la kipumbavu

    Jun 10, 2022 21:58

    Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yao mjini Vienna, Austria amelitaja azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA dhidi ya Iran kuwa ni la kipumbavu.

  • Iran: Tutatoa jibu madhubuti kwa azimio la US, EU lililopasishwa na IAEA dhidi yetu

    Iran: Tutatoa jibu madhubuti kwa azimio la US, EU lililopasishwa na IAEA dhidi yetu

    Jun 09, 2022 18:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA cha kupasisha azimio dhidi ya Tehran na kusisitiza kuwa, taifa hili litatoa jibu mwafaka na madhubuti kwa hatua hiyo.

  • Mazungumzo ya Vienna na umuhimu wa safari ya Grossi mjini Tehran

    Mazungumzo ya Vienna na umuhimu wa safari ya Grossi mjini Tehran

    Mar 05, 2022 08:04

    Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ta Atomiki (IAEA) leo Jumamosi amewasili hapa Tehran na kulakiwa na Behrouz Kamalvandi Msemaji na Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Shirika la Nishati ya Atomiki lal Iran. Ziara ya Grossi hapa Tehran inafanyika kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi baadhi ya hitilafu za mitazamo kuhusu faili la nyuklia la Iran pamoja na masuala mengine kati ya Iran na wakala wa IAEA.

  • China yasema Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia

    China yasema Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia

    Jan 22, 2022 23:10

    China imetahadharisha kuwa Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia kutokana na maghala yake makubwa ya silaha angamizi za nyuklia.

  • Iran: IAEA iache pupa inapozungumzia masuala ya nyuklia

    Iran: IAEA iache pupa inapozungumzia masuala ya nyuklia

    Nov 17, 2021 23:27

    Kaimu Mwakilishi wa Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yao huko Vienna, Austria ameziasa nchi wanachama wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) zijiepushe kutoa taarifa kwa haraka bila mazingatio juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Akiba ya urani iliyorutubishwa kwa 60% ya Iran yafikia kilo 25

    Akiba ya urani iliyorutubishwa kwa 60% ya Iran yafikia kilo 25

    Nov 05, 2021 23:55

    Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema akiba ya madini ya urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 60 hapa nchini imefikia kilo 25.