-
Zarif: Iran inao uwezo wa kuuza mafuta na kulinda uchumi wake
Oct 23, 2018 03:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inao uwezo wa kuuza mafuta yake na pia kulinda vyema uchumi wake.
-
Zarif: Vikwazo vipya vya US dhidi ya Iran vinakiuka maamuzi ya ICJ
Oct 18, 2018 10:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imekubuhu na ni mraibu mkubwa wa kuyawekea mataifa mengine vikwazo, na kwamba vikwazo vipya dhidi ya Tehran ni ukiukaji wa moja kwa moja kwa maamuzi ya hivi karibuni ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).
-
Zarif: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haistahamili vitisho
Oct 03, 2018 04:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Iran kamwe haitastahamili vitisho. Aliyasema hayo jana katika kikao cha pande kadhaa kuhusu makubaliano ya JCPOA huko Nw York, Marekani.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wakutaka mjini Pretoria
Jun 12, 2018 23:53Dk Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo ameonana na waziri mwenzake wa Afrika Kusini na kujadiliana naye masuala muhimu ya pande mbili.
-
Zarif: Nchi wanachama wa JCPOA zifidie hasara ilizopata Iran bila kutoa masharti yoyote
Jun 08, 2018 00:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yaendelee, lazima nchi zilizosalia kwenye makubaliano hayo pamoja na washirika wengine wa kibiashara watoe hakikisho kwamba hasara ilizopata Iran (kutokana na Marekani kujitoa kwenye JCPOA) zinafidiwa bila masharti yoyote kupitia hatua za kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Zarif: Stratejia mpya za Trump zitafanya Marekani itengwe zaidi
May 27, 2018 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia mpya zilizotangazwa hivi karibuni na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani eti dhidi ya Tehran zitaifanya Washington itengwe zaidi kimataifa.
-
Zarif: Marekani ikichukua uamuzi usio sahihi kuhusu JCPOA, itakabiliwa na jibu mwafaka la Iran
May 07, 2018 03:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo Marekani itakosea na kuchukua uamuzi usio sahihi kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), itakkabiliwa na jibu linalofaa kutoka kwa Iran.
-
Zarif: Iran haitofanya mazungumzo yoyote kuhusu JCPOA na mapatano hayo hayataongezwa chochote
May 03, 2018 23:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe alioutoa jana kwa njia ya video kwamba Tehran haitofanya mazungumzo yoyote mapya kuhusu JCPOA na wala mapatano hayo ya nyuklia hayataongezwa chochote. Amesema mapatano hayo yana njia moja tu nayo ni Marekani kuheshimu vipengee vyake vyote.
-
Zarif: Usalama wa Ghuba ya Uajemi unapasa kudhaminiwa na nchi za eneo
Apr 30, 2018 09:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Ghuba ya Uajemi ni eneo muhimu ambalo usalama wake unapaswa kudhaminiwa na mataifa ya eneo hili.
-
Zarif: Mchakato wa Astana ndio njia pekee ya kupatikana amani endelevu Syria
Apr 28, 2018 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Mchakato wa Amani wa Astana hivi sasa ni harakati pekee ambayo kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa na wengine inaweza kupelekea kupatikana amani adilifu na endelevu nchini Syria.