-
Zarif: Uingiliaji wa maajinabi umechelewesha kupatikana suluhu na amani nchini Syria
Apr 25, 2018 22:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, uingiliaji wa maajinabi umechelewesha kupatikana suluhu na amani nchini Syria.
-
Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi
Apr 23, 2018 00:09Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo kuu la Iran endapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni kuanzisha tena shughuli za nyuklia za taifa hili zenye malengo ya amani lakini kwa kiwango cha juu na cha kisasa zaidi.
-
Iran: Kama mapatano ya JCPOA yatavunjika, tutaanza kutekeleza miradi yetu ya nyuklia kwa kasi kubwa
Apr 21, 2018 23:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu uwezekano wa Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA kwamba, Tehran ina machaguo kadhaa likiwemo la kuanzisha utekelezaji wa miradi yake ya nyuklia kwa kasi kubwa zaidi.
-
Zarif aonya kuhusu tishio la misimamo ya kufurutu ada Mashariki ya Kati
Apr 17, 2018 23:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu tishio la misimamo mikali ya kufurutu ada katika eneo licha ya kuangamizwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani hujuma hujuma dhidi ya Syria
Apr 15, 2018 09:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amempigia simu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutoa maelezo kuhusu kushiriki nchi yake katika hujuma ya makombora dhidi ya Syria.
-
Muhammad Javad Zarif: Serikali ya Marekanin imefilisika kimaadili
Apr 13, 2018 23:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa njama za Marekani za kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kusema kuwa, serikali ya Washington imefilisika kimaadili.
-
Zarif awasili ziarani Windhoek, Namibia
Apr 12, 2018 03:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Windhoek mji mkuu wa Namibia katika marhala ya mwisho ya ziara yake ya kuzitembelea nchi kadhaa za Amerika ya Latini na Afrika.
-
Zarif: Saudia inaendelea 'kukamwa' kwa kutoleshwa fidia na Trump
Apr 04, 2018 22:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Mtindo wa rais wa Marekani wa 'kuikama' Saudi Arabia unaendelezwa bila kusita.
-
Iran kufuatilia jinai za Israel katika taasisi za kimataifa
Apr 04, 2018 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitza kuwa Iran itaendelea kuunga mkono harakati za mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina kutoka katika makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Zarif akosoa siasa za nchi za Magharibi kuhusu Yemen
Mar 26, 2018 22:00Sambamba na kuanza mwaka wa nne wa mapambano ya watu wa Yemen dhidi ya uvamizi na mashambulizi ya kila upande wa utawala wa kifalme wa SaudiA rabia, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa nchi za Magharibi hususan Marekani kwa kuendelea kuuzia silaha utawala wa Aal Saud.