Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zarif

  • Zarif azikosoa nchi za Ulaya kwa kukubali mashinikizo ya Marekani

    Zarif azikosoa nchi za Ulaya kwa kukubali mashinikizo ya Marekani

    Mar 05, 2018 13:44

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa baadhi ya matamshi na mienendo ya viongozi wa nchi za Ulaya kuhusuna na utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile tabia yao ya kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.

  • Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran na Russia wajadili masuala mbalimbali

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran na Russia wajadili masuala mbalimbali

    Mar 01, 2018 23:47

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kujadili masuala mbalimbali ya uhusiano wa pande mbili, ya kieneo na kimataifa.

  • Zarif: Kila mtu katika UNSC ameshuhudia usanii mchafu wa kuwaunga mkono walioanzisha uvamizi dhidi ya Yemen

    Zarif: Kila mtu katika UNSC ameshuhudia usanii mchafu wa kuwaunga mkono walioanzisha uvamizi dhidi ya Yemen

    Feb 28, 2018 00:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu rasimu ya azimio "dhidi ya Iran" iliyowasilishwa na Uingereza katika kikao cha Jumatatu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) ya madai hewa kwamba Iran inapeleka silaha nchini Yemen, kwamba: kilichotokea kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni usanii mchafu ulioonyeshwa kwa lengo la kuiunga mkono nchi iliyoanzisha uvamizi dhidi ya Yemen.

  • Zarif: Msingi wa kifikra, kifedha wa ISIS bado haujaangamizwa

    Zarif: Msingi wa kifikra, kifedha wa ISIS bado haujaangamizwa

    Feb 24, 2018 10:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, msingi wa kifikra na kifedha wa kundi la magaidi wakufurishaji wa Daesh au ISIS ungalipo.

  • Zarif: Kushindwa Daesh (ISIS) si mwisho wa ukufurishaji duniani

    Zarif: Kushindwa Daesh (ISIS) si mwisho wa ukufurishaji duniani

    Feb 18, 2018 12:25

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kusambaratishwa kundi la kigaidi na la wakufurishaji la Daesh (ISIS) sio mwisho wa harakati za magenge ya ukufurishaji yenye misimamo ya kufurutu ada katika eneo hili.

  • Zarif: Iran ndiyo nchi yenye amani zaidi katika Mashariki ya Kati

    Zarif: Iran ndiyo nchi yenye amani zaidi katika Mashariki ya Kati

    Feb 17, 2018 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ndiyo nchi yenye amani zaidi na yenye nguvu kubwa zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati licha ya mashinikizo yote ya kimataifa.

  • Madai ya ovyo ya Marekani na kuzidi kuchanganyikiwa White House

    Madai ya ovyo ya Marekani na kuzidi kuchanganyikiwa White House

    Jan 31, 2018 03:58

    Katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, serikali ya Donald Trump nchini Marekani imeongeza uadui wake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Zarif arudisha mapigo, asema Saudia na Marekani waliisaidia Daesh kwa silaha

    Zarif arudisha mapigo, asema Saudia na Marekani waliisaidia Daesh kwa silaha

    Jan 27, 2018 00:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Muhammad Javad Zarif amesema Saudi Arabia na Marekani haziwezi kupotosha ukweli wa mambo kuhusu misaada na ufadhili wao kwa kundi la kigaidi la Daesh.

  • Zarif: Iran iliwaangamiza magaidi wa ISIS ambao walipata silaha kutoka Marekani, Saudia

    Zarif: Iran iliwaangamiza magaidi wa ISIS ambao walipata silaha kutoka Marekani, Saudia

    Jan 26, 2018 00:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani na Saudi Arabia ndio waliowapa magaidi wa ISIS au Daesh silaha.

  • Zarif amjibu Trump, asema hakuna mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Zarif amjibu Trump, asema hakuna mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Jan 13, 2018 01:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya kujitakia makuu ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kusema haiwezekani kufanya mazungumzo mapya kuhusu mapatanao hayo huku akiitaka Marekani itekeleze ahadi zake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS