-
Mugabe achaguliwa kubeba bendera ya chama cha ZANU-PF uchaguzi ujao wa rais
Dec 18, 2016 01:08Rais Robert Mugabe wa Zimbambwe amechaguliwa tena kubeba bendera ya chama tawala cha Zanu-PF katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwaka 2018.
-
MDC: Tsvangirai atawania urais 2018 licha ya hali yake ya afya
Dec 02, 2016 03:42Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe MDC kimesema kiko imara licha ya kuugua kiongozi wake Morgan Tsvangirai.
-
Mke wa Mugabe asema yeye ndiye rais wa Zimbambwe
Nov 22, 2016 04:27Mke wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesema yeye ndiye rais wa nchi hiyo kwa kuwa anatekeleza majukumu yote ya urais pamoja na mumewe.
-
Zimbabwe yakataa wito wa kukubali ushoga na ndoa za jinsia moja
Nov 08, 2016 03:55Serikali ya Zimbabwe imesema katu haitokubali wito wa Umoja wa Mataifa wa kukubali ushoga na ndoa za jinsia moja katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Rais Mugabe aidhinisha 'sarafu mpya' Zimbabwe
Nov 02, 2016 00:54Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametumia mamlaka ya ofisi yake kutoa dikrii inayoidhinisha matumizi ya sarafu mpya nchini humo, licha ya asasi za kiraia kusisitiza kuwa uamuzi huo ni kinyume cha sheria.
-
Wanafunzi elfu 80 kuacha shule kutokana na njaa Zimbabwe
Oct 19, 2016 11:58Wanafunzi zaidi ya 80,000 nchini Zimbabwe wapo katika hatari ya kukatiza masomo yao kutokana na baa la njaa ambalo limefikia "kiwango cha kutisha."
-
Hatima ya Mugabe kutolewa madarakani na mahakama ya katiba Zimbabwe
Oct 08, 2016 10:35Hatima ya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu ijinyakulie uhuru sasa ipo mikononi mwa mahakama ya katiba ya nchi hiyo.
-
Ukandamizaji wa polisi dhidi ya waandamanaji nchini Zimbabwe
Sep 18, 2016 08:20Uepo mkubwa wa polisi katika mitaa ya mjini Harare, mji mkuu wa Zimbabwe, umezuia kufanyika maandamano ya wapinzani dhidi ya serikali.
-
Wapinzani Zimbabwe wakaidi amri ya kutoandamana
Sep 16, 2016 10:01Muungano wa vyama vya upinzani Zimbabwe, NERA, umetangaza kukaidi amri ya polisi ya kupiga marufuku maandamano katika mji mkuu Harare.
-
Maandamano yapigwa marufuku Harare mji mkuu wa Zimbabwe
Sep 13, 2016 09:17Duru za habari kutoka Zimbabwe zimearifu kuhusu kupigwa marufu kufanyika maandamano ya aina yoyote dhidi ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare.