Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Wapinzani Zimbabwe wakaidi amri ya kutoandamana

    Wapinzani Zimbabwe wakaidi amri ya kutoandamana

    Sep 16, 2016 10:01

    Muungano wa vyama vya upinzani Zimbabwe, NERA, umetangaza kukaidi amri ya polisi ya kupiga marufuku maandamano katika mji mkuu Harare.

  • Maandamano yapigwa marufuku Harare mji mkuu wa Zimbabwe

    Maandamano yapigwa marufuku Harare mji mkuu wa Zimbabwe

    Sep 13, 2016 09:17

    Duru za habari kutoka Zimbabwe zimearifu kuhusu kupigwa marufu kufanyika maandamano ya aina yoyote dhidi ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare.

  • Rais wa Zimbabwe: Majaji wamefanya uzembe kuruhusu maandamano ya upinzani

    Rais wa Zimbabwe: Majaji wamefanya uzembe kuruhusu maandamano ya upinzani

    Sep 04, 2016 09:38

    Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewatuhumu majaji wa mahakama za nchi hiyo kuwa wazembe kwa kuruhusu maandamano ya kupinga serikali ambayo baadaye yaligeuka kuwa ya fujo na machafuko.

  • ZHRC: Polisi ya Zimbabwe imefanya ukatili dhidi ya wapinzani

    ZHRC: Polisi ya Zimbabwe imefanya ukatili dhidi ya wapinzani

    Aug 30, 2016 23:56

    Tume ya Haki za Binadamu ya Zimbabwe (ZHRC) imelilaumu jeshi la polisi la nchi hiyo kuwa limefanya ukatili na kukanyaga haki za wapinzani wa serikali wakati wa kuzima maandamano yao katika kipindi cha miezi miwili ya hivi karibuni.

  • Rais Mugabe atoa onyo kali kwa waandamanaji dhidi ya serikali yake

    Rais Mugabe atoa onyo kali kwa waandamanaji dhidi ya serikali yake

    Aug 27, 2016 02:52

    Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametoa onyo kali kwa waandamanaji dhidi ya serikali yake nchi humo.

  • Polisi ya Zimbabwe yakabiliana tena na wapinzani wa  serikali ya Mugabe

    Polisi ya Zimbabwe yakabiliana tena na wapinzani wa serikali ya Mugabe

    Aug 26, 2016 12:07

    Kwa mara nyingine tena polisi nchini Zimbabwe imekabiliana na waandamanaji dhidi ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo, Harare.

  • Polisi Zimbabwe watumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya maandamano ya wapinzani

    Polisi Zimbabwe watumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya maandamano ya wapinzani

    Aug 24, 2016 23:48

    Askari polisi wa Zimbabwe wametumia mabomu ya kutoa machozi na mipira ya maji kuwatawanya vijana wa chama cha upinzani cha MDC waliokuwa wakiandamana kupinga ukatili unaofanywa na maafisa wa usalama

  • Wanawake Zimbabwe wafanya maandamano ya kulalamikia serikali

    Wanawake Zimbabwe wafanya maandamano ya kulalamikia serikali

    Aug 19, 2016 03:37

    Sambamba na kupamba moto maandamano ya kupinga serikali ambayo yamekuwa yakishuhudiwa katika kila pembe ya Zimbabwe, maelfu ya wanawake wa nchi hiyo nao pia jana waliandamana katika mji wa Bulawayo wakitaka watoto wao wapatiwe elimu bila ya malipo.

  • Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Zimbabwe

    Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Zimbabwe

    Aug 17, 2016 09:43

    Maafisa wa polisi nchini Zimbabwe wametumia mabomu ya kutoa machozi na maji yenye kuwasha kuzima maandamano ya makumi ya watu wanaopinga azma ya Benki Kuu nchini humo ya kufufua matumizi ya noti za nchi hiyo.

  • Mkutano mkubwa wa wapinzani wa serikali ya Zimbabwe katika mji mkuu Harare

    Mkutano mkubwa wa wapinzani wa serikali ya Zimbabwe katika mji mkuu Harare

    Aug 15, 2016 23:16

    Viongozi wa mrengo wa upinzani unaoipinga serikali ya Zimbabwe wamekusanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare na kufanya mkutano mkubwa uliowajumuisha wafuasi wa vyama vya upinzani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS