-
Polisi Zimbabwe watumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya maandamano ya wapinzani
Aug 24, 2016 23:48Askari polisi wa Zimbabwe wametumia mabomu ya kutoa machozi na mipira ya maji kuwatawanya vijana wa chama cha upinzani cha MDC waliokuwa wakiandamana kupinga ukatili unaofanywa na maafisa wa usalama
-
Wanawake Zimbabwe wafanya maandamano ya kulalamikia serikali
Aug 19, 2016 03:37Sambamba na kupamba moto maandamano ya kupinga serikali ambayo yamekuwa yakishuhudiwa katika kila pembe ya Zimbabwe, maelfu ya wanawake wa nchi hiyo nao pia jana waliandamana katika mji wa Bulawayo wakitaka watoto wao wapatiwe elimu bila ya malipo.
-
Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Zimbabwe
Aug 17, 2016 09:43Maafisa wa polisi nchini Zimbabwe wametumia mabomu ya kutoa machozi na maji yenye kuwasha kuzima maandamano ya makumi ya watu wanaopinga azma ya Benki Kuu nchini humo ya kufufua matumizi ya noti za nchi hiyo.
-
Mkutano mkubwa wa wapinzani wa serikali ya Zimbabwe katika mji mkuu Harare
Aug 15, 2016 23:16Viongozi wa mrengo wa upinzani unaoipinga serikali ya Zimbabwe wamekusanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare na kufanya mkutano mkubwa uliowajumuisha wafuasi wa vyama vya upinzani.
-
Wapinzani Zimbabwe: Haturudi nyuma, tutaendeleza maandamano dhidi ya Mugabe
Aug 12, 2016 10:35Kiongozi wa wapinzani nchini Zimbabwe, Evan Mawarire amesema kuwa wataendeleza maandamano yao dhidi ya serikali ya Rais Robert Mugabe.
-
Sisitizo la Rais Mugabe la kugombea tena kiti cha urais katika uchaguzi ujao wa Zimbabwe
Aug 10, 2016 01:25Licha ya maandamano na malalamiko ya siku kadhaa yanayoshuhudiwa katika miji mbalimbali ya Zimbabwe, Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo amesisitiza kuwa, ana mpango wa kugombea tena kiti hicho katika uchaguzi ujao.
-
Maveterani 2 Zimbabwe wakamatwa kwa kumkosoa Rais Mugabe
Jul 28, 2016 11:02Polisi ya Zimbabwe inawashikilia mashujaa wawili wa vita vya uhuru nchini humo, wiki moja baada ya maveterani hao kusema kuwa Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo ni dikteta na kumtaka ajiuzulu.
-
Serikali: Vikwazo vimesababisha mgogoro wa kiuchumi Zimbabwe
Jul 17, 2016 11:24Serikali ya Zimbabwe imelaumu vikwazo vya kimataifa na kusema kuwa ndiyo sababu kuu ya mgogoro wa kiuchumi unaoshuhudiwa nchini humo hivi sasa.
-
Wanawake Zimbabwe waandamana kumpinga Rais Mugabe
Jul 17, 2016 03:15Mamia ya wanawake nchini Zimbabwe jana walifanya maandamano dhidi ya serikali ya Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo kwa kupiga masufuria; kitendo kinashoashiria namna nchi hiyo inavyokabiliwa na njaa na matatizo ya kiuchumi.
-
Morgan Tsvangirai aunga mkono harakati mpya ya Wananchi dhidi ya serikali ya Zimbabwe
Jul 16, 2016 23:37Morgan Tsvangirai kiongozi wa wapinzani wa kisiasa wa serikali ya Zimbabwe ameunga mkono harakati mpya ya wananchi nchini humo.