-
Afrika Kusini na Zimbabwe zatimua raia 200 wa Msumbiji
May 03, 2016 23:53Afrika Kusini na Zimbabwe zimewarejesha nyumbani raia 197 wa Msumbiji. Hayo yamesemwa na Idhaa ya Taifa ya Msumbuji.
-
Zimbabwe yaamua kuuza wanyama pori kutokana na janga la ukame
May 03, 2016 11:58Serikali ya Zimbabwe imetangaza leo kuwa inawauza wanyama pori wake na kueleza kwamba inahitaji wanunuzi wa kuchukua hatua ya kuwaokoa wanyama hao na maafa ya ukame.
-
Malalamiko ya wananchi wa Zimbabwe kuhusu siasa za Rais Robert Mugabe
Apr 15, 2016 23:42Wananchi wa Zimbabwe wamefanya maandamano kulalamikia siasa za Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo.
-
WFP: Dola 220 zinahitajika kwa ajili ya Zimbabwe
Mar 16, 2016 11:56Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetangaza kuwa, linahitajia kiasi cha dola milioni 220 kwa ajili ya shughuli za misaada ya kibinadamu kwa nchi ya Zimbabwe inayokabiliwa na ukame.
-
Kuongezeka idadi ya wahitaji wa misaada ya chakula barani Afrika
Mar 16, 2016 10:26Kiongozi mmoja wa serikali ya Zimbabwe, ameelezea ongezeko kubwa la wahitaji wa misaada ya chakula kutokana na kushadidi ukame nchini humo.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusu hatari ya njaa na utapiamlo inayoikabili Zimbabwe
Mar 15, 2016 23:52Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kushughulikia Watoto (UNICEF) umetahadharisha juu ya hali mbaya ya njaa nchini Zimbabwe na kutangaza kuwa endapo hatua za lazima hazitochukuliwa juu ya suala hilo baa la njaa na utapiamlo vitavuka kiwango cha kuweza kudhibitika.
-
Rais Mugabe: Mrithi wangu anapaswa kuchaguliwa kwa njia ya demokrasia
Mar 04, 2016 10:58Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amekanusha madai ya kumuandaa mke wake aje kurithi kiti cha urais wa nchi hiyo na badala yake amesema kuwa, mrithi wake anapaswa kuchaguliwa kupitia njia ya demokrasia.
-
Upinzani: Mpango wa mageuzi ya ardhi wa Zimbabwe umeharibu uchumi
Feb 28, 2016 23:07Mwanachama wa chama cha upinzani kujulikanacho kwa jina la People’s Democratic (PDP) amedai kuwa serikali ya Rais Robert Mugabe imeharibu kikamilifu uchumi wa nchi hiyo wakati ilipoanzisha mpango wa marekebisho ya ardhi mwaka 2000.
-
Mugabe: Tutawaadhibu wanaogombania kunirithi urais
Feb 20, 2016 10:15Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametishia kuwachukulia hatua za kinidhamu makada wa chama tawala nchini humo ZANU-PF wanaozozana kuhusu ni nani atakayerithi kiti cha urais baada yake.
-
Zimbabwe yaomba msaada $ Bilioni 1.5 kukabiliana na njaa
Feb 10, 2016 11:54Serikali ya Zimbabwe imetoa ombi la msaada wa dharura wa dola zaidi ya bilioni 1.5 za kimarekani ili kununua nafaka kutoka nchi za nje na kuboresha ukulima nchini humo.