-
Mtu hafi ila kwa siku yake kufika
Apr 21, 2016 13:23Madamu siku zako za kuishi duniani zingalipo, hakuna tukio linaloweza kuchukua roho yako. Muone huyu alivyoponea chup chupu na kuwa shahidi wa uhakika huo....
-
Badala ya magari haya kufanya kazi za ujenzi, yalianza vita vya kufa na kupona
Apr 21, 2016 13:19Magari haya yalitarajiwa yaweko kabika ujenzi na huduma kwa jamii lakini...
-
Je, kila kitu kinakwenda vile unavyotamani kiende?
Apr 21, 2016 13:17Alitaka kuweka rekodi ya kuendesha gani kwa kazi kubwa zaidi kuliko wote duniani.... matokeo yake....
-
Urafiki hauhusu binadamu kwa binadamu tu
Apr 21, 2016 13:12Moyo wa mwanadamu usipokuwa na madhambi unaweza kujenga urafiki na kiumbe chochote. Ona urafiki huu baina ya mtoto huyu na mbuzi
-
Baina ya roho na mali kipi chenye thamani zaidi?
Apr 21, 2016 13:08Wako baadhi ya watu wako tayari kusamehe roho zao kwa ajili ya mali, wewe una msimamo gani. Huyu kwenye tukiwa hili la mafuriko aliamua hivi. Unakubaliana naye?
-
Mwizi mwenye silaha alivyozidiwa nguvu mikono mitupu
Apr 21, 2016 12:54Wakati mwingine ushujaa wa moyoni una nguvu zaidi kuliko silaha. Angalia namna mwizi mwenye silaha alivyozidiwa nguvu watu wasio na silaha...
-
Video: Kuingia kwenye maji ya Iran kwawaponza wanajeshi wa Marekani
Feb 06, 2016 11:56Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limewatia mbaroni wanajeshi 10 wa Marekani baada ya wanajeshi hao kuingia katika maji ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.