-
Israel yakiri kuwa wazayuni 29 wameangamizwa katika mwaka unaomalizika wa 2022
Dec 28, 2022 08:13Idara ya usalama wa ndani ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shabak imekiri kuwa, Wazayuni 29 waliuawa katika operesheni za mashambulizi zilizofanywa na Wapalestina katika mwaka huu unaomalizika wa 2022.
-
Bunge la Oman: Kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni uhalifu
Dec 28, 2022 05:08Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi.
-
Shtayyeh: Wapalestina 220 wameuawa shahidi mwaka huu wa 2022
Dec 28, 2022 04:33Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema: Tangu mwanzoni mwa mwaka huu utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 220 katika maeneo tofauti ya Palestina.
-
Baraza la Usalama la UN litoa wito wa kushirikishwa kikamilifu wanawake nchini Afghanistan
Dec 28, 2022 04:32Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake juu ya uamuzi wa Taliban wa kuwazuia wanawake kuhudhuria masomo katika vyuo vikuu na kutoa wito wa ushirikishwa kamili na kwa dhati wanawake na wasichana nchini Afghanistan.
-
Shirika la kutetea haki za binadamu laonya, Saudia inawanyonga wafungwa kwa sababu za kiitikadi
Dec 28, 2022 04:32Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad limetangaza kuwa limepokea taarifa zinazoonyesha nia ya Saudi Arabia ya kutekeleza hukumu za kifo kwa idadi ya wafungwa wa itikadi na wanajeshi.
-
Times: Utumwa mamboleo bado upo nchini Saudi Arabia
Dec 28, 2022 00:52Gazeti la Times la Uingereza limeripoti kuwa utumwa mamboleo ungalipo nchini Saudi Arabia licha ya maonyo ya taasisi za kimataifa.
-
Wizara ya Afya ya Yemen: Uvamizi na mzingiro umesababisha magonjwa ya kuambukiza
Dec 28, 2022 00:50Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema hatua ya muungano vamizi wa Saudi Arabia ya kutekeleza hujuma za kikatili na mzingiro wa ukandamizaji dhidi ya watu wa Yemen imesababisha kuenea magonjwa mbalimbali ya kuambukiza nchini humo.
-
Ongezeko la utoro na kujiua wanajeshi wa utawala haramu wa Israel
Dec 27, 2022 09:57Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Yediot Ahronot limeripoti kuwa, askari 14 wa jeshi la utawala huo wamejiua katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, idadi ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Israel yawaweka mamia ya watoto wa Kipalestina katika kifungo cha nyumbani
Dec 27, 2022 04:02Kamisheni ya Wafungwa wa Kipalestina imesema utawala haramu wa Israel umewaweka watoto zaidi ya 600 wa Kipalestina katika kifungo cha nyumbani, tokea mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa, huku utawala huo wa Kizayuni ukiendelea na kampeni yake ya kuwanyanyasa na kuwatia mbaroni Wapalestina.
-
Hamas: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu; serikali ya Netanyahu ni dhihirisho la watenda jinai
Dec 26, 2022 23:02Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika mji wa Quds amesema kuwa, serikali mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayoongozwa na Benjamin Netanyahu inadhihirisha sura ya watenda jinai na kusisitiza kuwa: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu.