-
Wairaqi wamkumbuka Shahidi Soleimani, waapa kuendeleza njia yake
Dec 26, 2022 08:50Wananchi wa Iraq katika Mkoa wa Salahedine wameshiriki katika hafla ya kumkumbuka kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Qassem Soleimani na wenzake wakati wa kukaribia maadhimisho ya mwaka wa tatu wa kuuawa kwao shahidi katika hujuma ya jeshi la kigaidi la Marekani.
-
2022; mwaka wa muqawama wa Palestina
Dec 26, 2022 06:36Ahmed al Mudallal, mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, bila ya shaka yoyote mwaka 2022 umekuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa ya muqawama wa Palestina.
-
Wabahrain waandamana kulalamikia kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 26, 2022 04:06Wananchi wa Bahrain wameandamana kulalalamikia na kulaani hatua ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mash’al atoa mwito wa umoja wa Wapalestina ili kukabiliana na serikali mpya ya Netanyahu
Dec 26, 2022 04:01Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amewatolea mwito Wapalestina wa kudumisha umoja na mshikamano baina yao ili kukabiliana na serikali mpya ya utawala haramu wa Israel inayoongozwa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu.
-
Mashirika makubwa ya misaada yasitisha shughuli Afghanistan baada ya Taliban kupiga marufuku wafanyakazi wa kike
Dec 26, 2022 04:01Mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali (NGOs) yamesitisha shughuli zake nchini Afghanistan baada ya serikali ya Taliban kupiga marufuku wanawake kufanya kazi katika mashirika hayo.
-
Ongezeko la wanajeshi wanaojiua lautia kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 25, 2022 22:48Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Yediot Ahronot limeripoti kuwa askari 14 wa jeshi la utawala huo wamejiua ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tu.
-
Kudumishwa harakati za Imarati kinyume na fikra za waliowengi katika ulimwengu wa Kiarabu
Dec 25, 2022 22:46Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wa Palestina na wakati huo huo kukalia kwa mabavu maeneo matakatifu ya Waislamu ikiwa ni pamoja na Msikiti wa al-Aqsa, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, umetia saini mapatano mapya ya kushirikiana kiuchumi na kibiashara na utawala huo ghasibu.
-
Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina
Dec 24, 2022 22:47Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.
-
Imarati na utawala wa Kizayuni zasaini makubaliano makubwa ya kiuchumi
Dec 24, 2022 08:24Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) umetiliana saini na utawala dhalimu na pandikizi wa Kizayuni, makubaliano makubwa na pande zote ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na kupunguza ushuru wa bidhaa.
-
Mvua kali na mafuriko katika majimbo ya Makka na Jeddah Saudia
Dec 24, 2022 02:56Mafuriko makubwa yaliukumba mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia siku ya Ijumaa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, kuharibu magari na mali katika mji huo.