-
Hamas yalaani hujuma ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria
Nov 19, 2022 23:03Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa taarifa akilaani mashambulio ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.
-
Kashfa ya uchaguzi Bahrain na uungaji mkono wa London kwa utawala wa Al Khalifa
Nov 19, 2022 23:03Watafiti, wanaharakati wapigania mageuzi wa Bahrain na wanaharakati wa jumuiya za kiraia huko London wamefichua kashfa ya uchaguzi wa hivi karibuni huko Bahrain na kutaka kukomeshwa vigezo vya kindumakuwili vya serikali ya Uingereza kuhusu demokrasia na haki za binadamu.
-
Amnesty International yaikosoa Marekani kwa kumpa kinga muuaji Bin Salman
Nov 19, 2022 23:02Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeukosoa utawala wa Rais wa Marekani, Joe Biden, baada ya Ikulu ya White House kutangaza kwamba mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman "ana kinga" inayozuia kushtakiwa katika kesi zinazohusiana na mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi.
-
Zaidi ya watoto wachanga 80 wanafariki kila siku mara baada ya kuzaliwa nchini Yemen
Nov 19, 2022 03:43Afisa wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Kitaifa ya Wokovu ya Yemen amesema zaidi ya watoto wachanga 80 hufa kila siku kutokana na ukosefu wa vifaa vya matibabu.
-
Iraq yawatia nguvuni magaidi 15 wa Daesh
Nov 18, 2022 22:59Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia mbaroni magaidi 15 wa kundi la Daesh katika mikoa sita ya nchi hiyo.
-
Yemen yalaani mauaji ya kijana Ali Atef huko Riyadh
Nov 18, 2022 04:04Wizara ya Masuala ya Wageni ya Yemen imelaani mauaji yaliyofanywa na vyombo vya usalama vya Saudia dhidi ya raia wa nchi hiyo"Ali Atef Hazban Al-Ali" mjini Riyadh huku familia yake ikifichua maelezo ya kushtua ya tukio hilo.
-
Wapalestina wapata ushindi mwingine Umoja wa Mataifa
Nov 18, 2022 03:17Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio ikitambua haki ya watu wa Palestina ya kuamua hatima yao wenyewe.
-
Moto waua watu 21 Ukanda wa Gaza, Mamlaka ya Ndani yatangaza maombolezo ya umma
Nov 18, 2022 03:01Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ukanda wa Gaza imetangaza habari ya kufariki dunia watu wote waliokuwa katika jengo la ghorofa lililoteketea kwa moto katika kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, huku Jeshi la Ulinzi la Wananchi likieleza kuwa wafanyakazi wake wameopoa miili 21 ya waliofariki dunia kutokana na moto huo.
-
Kusambaratika miundombinu ya uchumi wa Afghanistan katika miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu na Marekani
Nov 17, 2022 22:49Waziri wa Uchumi wa serikali ya wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan amesema kuwa, miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo na wanajeshi wa Marekani ndio sababu kuu ya kusambaratika miundombinu ya uchumi wa nchi hiyo.
-
Wazayuni wapatwa na kiwewe cha kwenda Qatar wakati wa fainali za Kombe la Dunia
Nov 17, 2022 22:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaonya Wazayuni wasitembelee Qatar au wachukue tahadhari kubwa wakiweko nchini humo wakati wa fainali za Kombe la Dunia.