-
Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu
Nov 14, 2022 07:27Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel anayetazamiwa kuunda serikali mpya ya utawala wa Kizayuni amemualika Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Bahrain, Salman bin Hamad Aal Khalifah kuitembelea ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina la Israel.
-
Jeshi la Israel lampiga risasi na kumuua shahidi binti wa Kipalestina
Nov 14, 2022 07:19Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua shahidi msichana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 19 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hizbullah: Marekani imekusudia kuingamiza kabisa Lebanon
Nov 14, 2022 03:16Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inapanga njama za kuiangamiza kabisa kabisa Lebanon.
-
Haki za binadamu ya Yemen: Saudia imeua makumi ya wahajiri wa Kiafrika
Nov 13, 2022 22:53Kaimu Waziri wa Haki za Binadamu wa Yemen amelaani mauaji ya wahajiri wa Kiafrika yaliyofanywa na walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia.
-
Wazayuni waingiwa na hofu baada ya Netanyahu kupewa jukumu la kuunda serikali mpya Israel
Nov 13, 2022 22:52Sambamba na Benjamin Netanyahu kupewa jukumu la kuunda baraza la mawaziri la serikali mpya ya Israel, mmoja wa majenerali wa Israel ameutaja uteuzi wake kuwa ni maafa makubwa.
-
Kilichofanyika Bahrain ni uchaguzi au uteuzi tu wa watu?
Nov 13, 2022 05:40Jana Jumamosi, ulifanyika uchaguzi nchini Bahrain wa kuchagua wabunge 40 wa Baraza la Wawakilishi na wajume 30 wa Mabaraza ya Miji.
-
Wanamfalme wa Saudia na biashara ya madawa ya kulevya Mashariki ya Kati
Nov 13, 2022 04:43Duru moja nchini Saudi Arabia imeripoti kuhusu kuongezeka matumizi ya madawa ya kulevya na kuhusika wanamfalme wa nchi hiyo katika kuingiza nchini mihadarati.
-
Hamas yasisitiza kutekeleza Tangazo la Algeria na kuhitimisha hitilafu za ndani
Nov 13, 2022 04:20Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa harakati hiyo ipo tayari kutekeleza Tangazo la Algeria kuhusu mapatano ya kitaifa na kuhitimisha hitilafu za ndani.
-
Qatar yasisitiza tena kupinga kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 12, 2022 08:42Serikali ya Qatar kwa mara nyingine tena imesisitiza msimamo wake wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida wa aina yoyote ile na utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji kila leo huko Palestina.
-
Wazayuni wakasirishwa na uamuzi wa Umoja wa Mataifa wenye maslahi na Wapalestina
Nov 12, 2022 07:58Kamati ya Kupambana na Ukoloni ya Umoja wa Mataifa imepasisha muswada wa Kipalestina ambao ndani yake unataka rai na maoni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusiana na hatua ya utawala wa Kizayuni wa israel ya kuendelea kuikalia kwa mabavu Palestina.