-
Tawi la kijeshi la HAMAS ya Palestina lapiga gwaride dhidi ya Israel, Gaza
Jul 22, 2022 03:06Bridegi za Izuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimefanya gwaride kubwa la kijeshi katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Syria latungua makombora ya Israel viungani mwa Damascus
Jul 22, 2022 02:41Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Syria kimetangaza kutungua makombora yaliyokuwa yamevurumishwa na utawala haramu wa Israel nje ya mji mkuu Damascus.
-
Mafanikio ya mkutano wa Tehran katika matamshi ya Erdoğan
Jul 21, 2022 22:02Kama ilivyotazamiwa, Mkutano wa 7 wa "Dhamana ya Mchakato wa Astana" uliofanyika majuzi mjini Tehran umekuwa na mafanikio makubwa kuhusu masuala yanayohusiana na serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria na watu wa nchi hiyo.
-
Sana'a: Fedha ya Imarati na Saudia haiwezi kutupigisha magoti
Jul 20, 2022 07:18Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, fedha ya Imarati na Saudi Arabia imeipigisha magoti sehemu kubwa ya hii dunia, lakini haiwezi kuiburuta na kuipigisha magoti serikali ya Sana'a.
-
Nasrullah: Ikiwa Lebanon haitapata haki yake, utawala wa Kizayuni hautaruhusiwa kuchimba mafuta
Jul 20, 2022 03:21Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Lebanon haitaki vita, lakini iwapo haitapata inachostahiki, utawala wa Kizayuni hautaruhusiwa kuchimba mafuta.
-
Idadi kubwa ya watu wa Saudia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano na utawala haramu wa Israel
Jul 19, 2022 22:57Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa, idadi kubwa ya watu wa Saudi Arabia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano baina ya nchi hizo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kukiri wataalamu wa Kizayuni kuwa uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuharibiwa kijeshi
Jul 19, 2022 21:47Katika kujibu maneno ya Dakta Kamal Kharrazi Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Iran na Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Sera za Kigeni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mkuu wa Majeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel amezungumzia kile amekitaja kuwa tishio la Iran na chaguo la kijeshi na kusema chaguo la kijeshi dhidi ya Iran ni jukumu la kimaadili tu.
-
Tofauti kati ya safari ya Biden na Putin eneo la Asia Magharibi
Jul 19, 2022 04:04Baada ya safari ya Rais Joe Biden wa Marekani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na Saudi Arabia, Rais Vladimir Putin wa Russia leo yuko safarini nchini Iran. Kuna tofauti za wazi kati ya malengo na ajenda za safari ya Biden na Putin katika eneo la Asia Magharibi. Rais Tayyip Erdoğan wa Uturuki pia yuko safarani nchini Iran kwa lengo la mkutano wa pande tatu wa marais wa Iran, Russia na Uturuki.
-
Wanajeshi wa Kizayuni wavamia Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Jul 19, 2022 03:42Wanajeshi wai utawala ghasibu wa Israel wameyavamia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika kuendeleza uhasama wao dhidi ya raia wa Palestina.
-
UN na jitihada za kuongeza muda wa usitishaji vita huko Yemen
Jul 19, 2022 03:30Naibu Msemaji wa Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, umoja huo unafanya juhudi ili kuongeza muda wa usitishaji vita huko Yemen.