-
Kumalizika ziara ya makelele mengi ya Biden Magharibi ya Asia na zawadi makhsusi aliyotunukiwa Bin Salman
Jul 18, 2022 21:37Safari ya Rais Joe Biden wa Marekani Magharibi ya Asia imemalizika katika hali ambayo, matunda muhimu iliyozaa ni kufufuliwa nafasi ya Mohammed Bin Salman katika muundo wa madaraka na satua ndani ya Saudi Arabia na katika eneo.
-
Amir wa Qatar: Israel ndio chanzo kikuu cha mivutano katika eneo la Asia Magharibi
Jul 17, 2022 22:01Amir wa Qatar ameitaja Israel kuwa ndio chanzo kikuu cha mizozo katika eneo la Asia Magharibi, akisema machafuko na hali ya kutokuwepo utulivu itaendelea katika eneo hilo isipokuwa utawala ghasibu wa Israel utakapokoma kukiuka sheria za kimataifa.
-
Biden apingana na waziri wa Saudia kuhusu alichoteta na Bin Salman juu ya mauaji ya Khashoggi
Jul 17, 2022 07:21Rais Joe Biden wa Marekani amedai kuwa waziri mshauri wa mambo ya nje wa wa Saudi Arabia Adel al-Jubeir hajaonyesha uaminifu kwa kauli aliyotoa kuhusu yaliyojiri katika mkutano wa rais huyo wa Marekani na mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman.
-
Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake
Jul 17, 2022 06:28Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Saudi Arabia ya kuufungulia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mipaka ya anga yake ni sawa na kuwa mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala huo na ni usaliti kwa umma wa Kiislamu.
-
Safari ya Biden imefanyika kwa lengo la kuchochea mivutano na kuvuruga amani katika eneo hilo
Jul 17, 2022 05:33Wazayuni walimtandazia zulia jekundu Rais Joe Biden wa Marekani katika safari yake ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, wakitarajia kwamba wangeweza kumnasa katika mtego ule ule waliotumia kumnasa Donald Trump ambaye kutokana na hila za Benjamin Netanyahu, aliyatumbukiza mapatano ya nyuklia ya JCPOA katika matatizo ya hivi sasa.
-
UAE: Tumo mbioni kupeleka balozi wetu Tehran
Jul 16, 2022 21:45Mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) Anwar Qarqash amesema nchi yake iko mbioni kumrejesha balozi wake mjini Tehran.
-
Ansarullah ya Yemen: Hatukubali chochote kile ghairi ya kukomeshwa vita na kuondolewa mzingiro
Jul 16, 2022 21:43Mjumbe mwandamizi wa Baraza la Kisiasa ambaye pia na Kiongozi wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema, Sana'a haikubali chochote kile isipokuwa kuhitimishwa uvamizi wa kijeshi na mzingiro iliowekewa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati (UAE).
-
Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni
Jul 16, 2022 03:44Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amelitaja shambulio la ndege za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza kuwa ni kilele cha uungaji mkono wa Washington kwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala huo.
-
Hamas yapinga misimamo ya Saudia ya kujikurubisha zaidi kwa wazayuni maghasibu
Jul 15, 2022 22:25Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali hatua ya Saudi Arabia ya kufungua anga ya nchi hiyo kwa ndege za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yaidhinisha Saudia kupewa visiwa viwili vya Misri
Jul 15, 2022 22:12Utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kubariki mpango wa kukabidhi visiwa viwili vya kistratajia vya Misri kwa Saudi Arabia.