-
Israel yaidhinisha Saudia kupewa visiwa viwili vya Misri
Jul 15, 2022 22:12Utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kubariki mpango wa kukabidhi visiwa viwili vya kistratajia vya Misri kwa Saudi Arabia.
-
Shukurani za Gavana wa jimbo la Herat kwa misaada ya Iran kwa watu wa Afghanistan
Jul 15, 2022 22:12Gavana wa jimbo la Herat ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa misaada yake kwa watu wa Afghanistan.
-
Vita vya Siku 33; mabadiliko muhimu na makubwa kwa Muqawama katika muundo wa kisiasa na kiusalama Asia Magharibi
Jul 15, 2022 04:19Miaka 16 imepita tangu vilipopiganwa vita vya mwaka 2006 vilivyoanzishwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Wapalestina waandamana kupinga ziara ya Biden Asia Magharibi
Jul 15, 2022 02:48Mamia ya Wapalestina wamefanya maandamano katika eneo la kaskazini la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupaza sauti zao za kupinga ziara ya Rais Joe Biden wa Marekani katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu yaliyopachikwa jina la Israe katika safari yake ya kwanza ya Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kama rais wa Marekani.
-
Indhari ya Raisi kwa Marekani sambamba na safari ya Biden Asia Magharibi
Jul 14, 2022 22:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa, Iran haiataachana na misimamo yake ya haki na ya kimantiki na hakuna aliye na haki ya kutumia lugha ya mabavu mkabala wa taifa la Iran.
-
Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) katika siasa za kigeni za serikali ya Biden
Jul 14, 2022 03:55Rais Joe Biden wa Marekani aliwasili Jumatano katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel ikiwa ni sehemu ya kwanza ya safari yake katika eneo la Asia Magharibi ambapo anatazamiwa pia kuitembelea Saudi Arabia hivi karibuni.
-
Vyama vya siasa Misri vyapinga kuanzishwa muungano wa aina yoyote kati ya Waarabu na Israel
Jul 14, 2022 03:12Vyama kadhaa vya siasa nchini Misri vimetangaza kuwa vinapinga kuanzishwa aina yoyote ya muungano wa kijeshi kati ya nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa hatua kama hiyo itahatarisha amani na usalama wa kimataifa.
-
Nasrullah: Moja ya matunda ya Muqawama yalikuwa ni kusambaratisha mpango wa Mashariki ya Kati Mpya
Jul 13, 2022 22:47Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, mojawapo ya matunda muhimu zaidi ya mhimili wa Muqawama yalikuwa ni kuuzima mpango wa Marekani wa kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya.
-
Hamas: Safari ya Biden Asia Magharibi ni dhihirisho la uungaji mkono kamili wa Washington kwa Tel Aviv
Jul 13, 2022 22:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja safari ya Rais Joe Biden wa Marekanii katika eneo la Mashariaki ya Kati kuwa ni kielelezo cha kivitendo cha uungaji mkono kamili wa Washington kwa Tel Aviv na imeonya kuhusu hatari ya safari hiyo kwa eneo hilo na mapambano ya Palestina.
-
Balozi wa Saudia ashukiwa kuhusika na mauaji ya mpinzani wa nchi hiyo aliyeuliwa Lebanon
Jul 13, 2022 04:58Duru za kuaminika zimeripoti kuwa balozi wa Saudi Arabia nchini Lebanon amehusika katika mauaji ya kutatanisha ya mwanaharakati mmoja mpinzani wa utawala wa Aal Saud yaliyotokea nchini Lebanon.