-
Balozi wa Saudia ashukiwa kuhusika na mauaji ya mpinzani wa nchi hiyo aliyeuliwa Lebanon
Jul 13, 2022 04:58Duru za kuaminika zimeripoti kuwa balozi wa Saudi Arabia nchini Lebanon amehusika katika mauaji ya kutatanisha ya mwanaharakati mmoja mpinzani wa utawala wa Aal Saud yaliyotokea nchini Lebanon.
-
Wapalestina watoa wito wa kufanyika maandamano makubwa kulaani safari ya kikanda ya Biden
Jul 13, 2022 02:52Wanaharakati wa Kipalestina wametoa wito wa kufanyika maandamano makubwa kulaani ziara ya Rais wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Sababu za umuhimu wa safari ya Biden kwa Saudi Arabia
Jul 12, 2022 21:52Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuanza safari yake Asia Magharibi leo Julai 13 na safari hiyo inatazamiwa kumalizikia Saudia mnamo Julai 16.
-
Hamas: Kuchomwa wakiwa hai wanajeshi wa Misri na utawala wa Israel kunadhihirisha dhati ya ukatili
Jul 12, 2022 06:27Ikitoa radiamali yake kwa habari kuhusu kuchomwa wakiwa hai makumi ya wanajeshi wa Misri katika vita vya mwaka 1967; Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) imesema kitendo hicho kinadhihirisha dhati ya ukatili na kutenda jinai ya utawala wa Kizayuni.
-
Ndege maalumu ya shirika la ujasusi la Israel, Mossad yatua Riyadh, Saudi Arabia
Jul 11, 2022 22:50Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel vimeripoti kuwa, ndege maalumu ya shirika la ujasusi la utawala huo Mossad imetua katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
-
Shambulio la Saudia nchini Yemen laua na kujeruhi mamia ya watu
Jul 11, 2022 06:47Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia kwa mara nyingine umekiuka makubaliano ya usitishaji wa Umoja wa Mataifa, na kuua na kujeruhi mamia ya raia wa Yemen katika shambulio jipya, kaskazini mwa nchi.
-
Mapendekezo ya Amnesty International kwa Riyadh kuhusu haki za binadamu
Jul 11, 2022 03:51Shirika la Kutetea Haki za Binadamu lisilo la kiserikali la (Amnesty International) limetaka kusainiwa waraka ambao unamtaka Mfalme wa Salman wa Saudi Arabia aondoe marufuku ya kiholela dhidi ya safari ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu nchini humo.
-
Iran na Imarati kushirikiana zaidi katika kukabiliana na uchafuzi wa vumbi
Jul 11, 2022 03:23Msemaji wa Shirika la Kulinda Mazingira la Iran amesemam kuwa Tehran na Abu Dhabi zitaimarisha ushirikiano kati yao ili kukabiliana na msambao wa vumbi angani.
-
Cairo yautaka utawala wa Kizayuni utoe maelezo kuhusu mauaji ya wanajeshi wa Misri
Jul 11, 2022 03:12Rais wa Misri ameutaka utawala wa Kizayuni kutoa maelezo kuhusu kugudnuliwa kaburi la umati lenye miili ya wanajeshi wa Misri walichomwa wakiwa hai na wanajeshi wa utawala huo katika vita vya mwaka 1967
-
Kadhia ya Palestina ndicho kipaumbele muhimu zaidi kwa Waislamu wa Marekani
Jul 10, 2022 22:06Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa Waislamu wengi wa nchi hiyo wanalichukulia suala la Palestina kuwa ndicho kipaumbele kikuu kwao.