-
Siku Imam Ridha (as) Alipouliwa Shahidi
Oct 09, 2022 05:26Siku aliyouawa shahidi, Imam Ridha alisali kwa khushuu na unyenyekevu mkubwa Swala yake ya asubuhi.
-
Imam Ali al Hadi (as), Taa ya Uongofu
Jul 14, 2022 03:17Imam Hadi (as) alizaliwa tarehe 15 Dhul Hijja mwaka 212 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina. Alipewa lakabu ya al-Hadi kwa maana ya muongozaji. Alitekeleza vyema jukumu hilo la kuongoza jamii ya Kiislamu kwa muda wa miaka 33.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu, 1443 Hijiria
Jul 08, 2022 05:00Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu. Hamdu zote zinamstahikia Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu, na swala na salamu zake zimshukie Muhammad al-mustafa na Aali zake watoharifu na Masahaba zake weme.
-
Kuwa karibu na Mwenyezi Mungu
Apr 18, 2022 05:28Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tuna furaka kukukaribisheni kusikiliza kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukaribia nyusiku tukufu na takatifu za Lailatul Qadr.
-
Ramadhani, mwezi wa fursa
Apr 11, 2022 06:26Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tunakukaribisheni kusikilizaji kipindi hiki maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Mapinduzi ya Kiislamu na Uhuishaji Kigezo cha Kufuatwa na Mwanamke Muislamu
Feb 16, 2022 00:29Katika kipindi cha miaka 43 tokea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi sasa, zimefanyika juhudi athirifu za kuhuisha heshima ya wanawake.
-
Utamaduni wa Qur'ani katika Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 13, 2022 01:58Qur'ani Tukufu ndio chanzo muhimu zaidi cha elimu na maarifa ya Uislamu, ambacho, pamoja na vyanzo vingine vya elimu ya dini, mbali na kutumiwa katika maisha ya mtu binafsi na ya kiibada, vilevile huainisha mfumo wa jamii katika masuala ya kisiasa na kijamii.
-
Nafasi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Katika Kujitokeza Harakati za Kiislamu Katika Eneo
Feb 03, 2022 05:03Kwa ushahidi wa historia, karne ya 20 ilikuwa karne iliyoshuhudia, pamoja na mambo mengine, baadhi ya nchi na madola duniani yakishupalia na kupigania kuwa na nguvu, mamlaka na sauti kubwa zaidi ya nchi zingine.
-
Imam Baqir AS Chimbuko la Elimu na Maarifa (Kwa mnasaba wa Siku ya Kuzaliwa) + SAUTI
Feb 01, 2022 06:59Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Mwaka 57 baada ya Hijra ya Mtume SAW ya kutoka Makkah kuelekea Madina, katika siku ya kwanza ya mwezi uliojaa fadhila wa Rajab, ulimwengu uling'ara kwa kuzaliwa nuru ya mmoja wa watu watukufu katika kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)
Jan 31, 2022 07:12Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.