-
Maswahaba wa Imam Hussein AS-01
Sep 11, 2018 03:19Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachozungumzia matukufu na ubora wa masahaba wa Imam Hussein bin Ali (as) na imani yao thabiti, kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Nafasi ya Qur'ani Tukufu katika mapambano ya Imam Husain AS (1)
Sep 11, 2018 03:16Mapambano ya Karbala na Hamasa ya Imam Husain AS alikuwa ni mapinduzi ya kipekee ambayo yaliweza kwa haraka mno kushinda mapinduzi mengine yote, kuwafedhehesha madhalimu, kufichua uovu wao na kusafisha vumbi la propaganda chafu lililokuwa limefunika uhakika wa dini tukufu ya Kiislamu.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (1)
Sep 11, 2018 03:12Katika kipindi hiki cha Maswali Kuhusu Tukio la Ashura, tunakusudia kujibu baadhi ya maswali ambayo huenda yakawa yanaulizwa na baadhi ya watu kuhusiana na tukio hili.
-
Hekima na busara katika fikra za Imam Musa al Kadhim AS
Aug 31, 2018 21:35Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa al Kadhim AS. Ni matumaini yangu utakuwa nami hadi mwisho wa makala hii.
-
Historia fupi ya tukio la Ghadir
Aug 29, 2018 11:58Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya sikukuu ya Ghadir. Katika dakika hizi chache, tutazungumzia kwa muhtasari kuhusu sikukuu hii adhimu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi. *****
-
Hija na Visa Vyenye Ibra
Aug 19, 2018 07:44Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Tuko kwenye msimu wa ibada tukufu ya Hija. Kwa mnasaba huo Radio Tehran imekuandalieni kipindi hiki maalumu cha Hija na Visa Vyenye Ibra. Kisa chetu cha kwanza kitahusu Hija ya Kudumu Daima Dawamu.
-
Kipindi cha Afrika Wiki - Maziko ya msanii maarufu, Mzee Majuto
Aug 12, 2018 10:44Siku ya Jumatano ya tarehe 8 Agosti 2018 Tanzania na eneo zima la Afrika Mashariki na Kati lilikumbwa na msiba wa kuondokewa na msanii mkongwe wa filamu hasa za vichekezo, mzee Amri Athumani, maarufu kwa jina la Mzee Majuto au King Majuto kama wanavyomuita mashabiki wake.
-
Siku ya Idadi ya Watu Duniani
Jul 14, 2018 08:16Tarehe 11 Julai mwaka huu dunia iliadhimisha Siku ya Idadi ya Watu Duniani. Tarehe 11 Julai mwaka 1989 alizaliwa mtu wa bilioni tano katika sayari hii ya dunia.
-
Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah
Jun 05, 2018 13:23Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS. Ni matumaini yangu kwamba mtaendelea kuwa kando ya redio zenu kusikiliza niliyokuandalieni.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba AS
May 30, 2018 03:11Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 15 Ramadhani ni siku inayosadifiana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba, mjukuu mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW.