Leo ni tarehe Mosi Shawwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 10 Aprili 2024.
Leo ni Jumamosi tarehe Mosi Mfunguo Mosi Shawwal 1444 Hijria sawa na tarehe 22 Aprili 2023 Miladia.
Leo ni Jumatatu tarehe 30 Ramadhani 1443 Hijria sawa na tarehe Pili Mei 2022.
Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Shawwal 1442 Hijria sawa na tarehe 13 Mei mwaka 2021.
Leo ni Jumapili tarehe Mosi Shawwal 1441 Hijria, inayosadifiana na Juni 24 Mei, 2020 Miladia.
Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Shawwal 1439 Hijria sawa na Juni 15, mwaka 2018.
Jumatatu tarehe Mosi Shawwal 1438 Hijria sawa na Juni 26, 2017
Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shawwal 1437 Hijria sawa na Julai 6 2016 inayosadifiana na sikukuu ya Idi al-Fitr.