-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)
Sep 16, 2018 10:27Je, tukio la Ashuraa na mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika siku ya tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria lina umuhimu katika utamaduni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia peke yao? Au la, madhehebu nyingine za Kiislamu pia kama madhehebu za Ahlusunna, zinajali sana tukio hilo na kuumizwa mno na masaibu ya Hussein bin Ali na dhulma zilizofanywa na madhalimu dhidi ya familia hiyo ya Mtume?
-
Imam Hussein AS; mhimili wa umoja
Sep 15, 2018 12:03Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku hizi za Muharram na tukio la kuuawa shahidi Imam Hussein AS pamoja na masahaba zake katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
-
Jumatano tarehe 12 Septemba 2018
Sep 12, 2018 04:37Leo ni Jumatano tarehe Pili Muharram mwaka 1440 Hijria sawa na Septemba 12, 2018.
-
Maswahaba wa Imam Hussein AS-01
Sep 11, 2018 07:49Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachozungumzia matukufu na ubora wa masahaba wa Imam Hussein bin Ali (as) na imani yao thabiti, kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Nafasi ya Qur'ani Tukufu katika mapambano ya Imam Husain AS (1)
Sep 11, 2018 07:46Mapambano ya Karbala na Hamasa ya Imam Husain AS alikuwa ni mapinduzi ya kipekee ambayo yaliweza kwa haraka mno kushinda mapinduzi mengine yote, kuwafedhehesha madhalimu, kufichua uovu wao na kusafisha vumbi la propaganda chafu lililokuwa limefunika uhakika wa dini tukufu ya Kiislamu.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (1)
Sep 11, 2018 07:42Katika kipindi hiki cha Maswali Kuhusu Tukio la Ashura, tunakusudia kujibu baadhi ya maswali ambayo huenda yakawa yanaulizwa na baadhi ya watu kuhusiana na tukio hili.
-
Ijumaa tarehe 20 Aprili 2018
Apr 20, 2018 01:38Leo ni ijumaa tarehe 3 Shaaban 1439 Hijria sawa na tarehe 20 Aprili mwaka 2018.
-
Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki
Nov 07, 2017 11:55Harakati ya mapambano ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) hapo mwaka 61 Hijria dhidi ya dhulma na ufisadi wa Bani Umayya ilijaa hamasa, kujitolea na kusabilia kila kitu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, haki na uadilifu, na kwa sababu hiyo imegusa sana nyoyo za Waislamu na hata wapenda haki na kweli wasio Waislamu na kuzusha vuguvugu na hamasa ya aina yake ndani ya nafsi za wapenzi wa mtukufu huyo.
-
Arubaini; kukamilika Ashura
Nov 06, 2017 10:26Arubaini ni siku ya kufikia ukamilifu. Ukamilifu wa Ashura ni Arubaini; ukamilifu wa matendo, harakati na juhudi zote. Karbala katika Siku ya Arubaini huwa ni kioo cha waliofikia kilele cha umaanawi kiasi kwamba ulegevu, uzembe, udhaifu na kurejea nyuma huwa havina nafasi tena katika hali hiyo.
-
Imam Hussein, Nguzo ya Umoja na Mshikamano wa Kiislamu
Oct 31, 2017 10:40Zimebakia siku chache tu hadi siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as) na barabara zote za kuelekea katika mji wa Karbala nchini Iraq zimefurika watu kama mto wa maji unaoelekea katika mji mtakatifu wa Karbala.