-
Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi
Oct 02, 2017 02:30Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji, warahmatullahi wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kwa mara nyengine nyoyo za waliokomboka kifikra duniani zinajielekeza kwa Imam Hussein (as) huku macho yao yakibubujikwa na machozi kwa kulikumbuka tukio la Karbala. Ni miaka 1372 imepita tangu lilipojiri tukio hilo, lakini unapowadia mwezi wa Muharram kila mwaka, Waislamu huendelea kujumuika pamoja na kushiriki kwenye majlisi za kumuomboleza Hussein Ibn Ali (as) na wafuasi wake.
-
Ijumaa tarehe 29 Septemba, 2017
Sep 29, 2017 02:40Leo ni Ijumaa tarehe 8 Muharram 1439 Hijria, sawa na tarehe 29 Septemba, 2017.
-
Al-Kaaba na Imam Hussein (as)
Sep 24, 2017 12:29Kaaba ni jina kongwe, tukufu na linalovutia zaidi la nyumba ya ibada ya Mwenyezi Mungu ambayo inapatikana katika mji mtakatifu wa Makka na katika ardhi ya Hijaz.
-
Jumamosi, Septemba 23, 2017
Sep 23, 2017 02:33Leo ni Jumamosi tarehe Pili Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria mwafaka na tarehe 23 Septemba 2017 Miladia.
-
Qur'ani Tukufu na Imam Hussein AS
Sep 21, 2017 08:10Assalam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyokuandalieni kwa munasaba wa siku hizi 10 za kwanza za Mwezi wa Muharram ambapo Waislamu na wapenda haki kote duniani wanaomboleza kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS. Katika makala yetu ya leo tutaangazia mada ya Qur'ani Tukufu na Imam Hussein AS.
-
Muharram, Mwezi wa Kujisabilia na Kuuliwa Shahidi
Sep 20, 2017 07:48Tunaingia katika siku ya kwanza ya mwezi wa Muharram mwaka 1439 Hijria Qamariya.
-
Jumatano 30 Agosti, 2017
Aug 30, 2017 03:10Leo ni Jumatano tarehe 8 Mfunguo Pili Dhilhija mwaka 1438 Hijria, mwafaka na tarehe 30 Agosti 2017.
-
Jumapili 30
Apr 30, 2017 02:27Leo ni Jumapili tarehe tatu Shaban 1438 Hijria, sawa na tarehe 30 Aprili, 2017
-
Imam Hussein AS, kigezo bora kwa wapigania ukombozi
Apr 29, 2017 12:53Tarehe tatu Shaaban ni kumbukumbu ya kuzaliwa shakhsia mkubwa ambaye aliyapa maana kamili maneno ya umaridadi na mapenzi. Ana moyo maridadi, karama, maarifa ya kina na hatimaye yeye ni kielelezo cha maisha ya mwanaadamu aliyekamilika. Leo ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa, Hussein, mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Jumatano tarehe 26 Aprili, 2017
Apr 26, 2017 12:47Leo ni Jumatano tarehe 28 Rajab 1438 Hijria sawa na 26 Aprili 2017.