-
Ulimwengu wa Michezo, Februari 13
Feb 13, 2017 04:37Mkusanyiko wa matukio kemkem ya spoti ndani ya siku saba zilizopita......................
-
Jumapili, Februari 12, 2017
Feb 11, 2017 23:21Leo ni Jumapili tarehe 14 Jamadal-Awwal 1438 Hijria, sawa na tarehe 12 Februari 2017 Miladia.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-2
Feb 09, 2017 05:12Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalikuwa tukio la aina yake la kisiasa na kijamii na mapinduzi makubwa ya mwisho ya karne ya 20, yakuwa na taathira kubwa katika siasa za kimataifa na matukio ya kipindi hicho, jambo ambalo liliwashangaza wachambuzi wengi wa mambo.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (6)
Feb 07, 2017 05:25Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio makala maalumu yanayokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, hii ikiwa ni sehemu ya sita ya mkala hizo.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (7)
Feb 06, 2017 06:54Hali ya kisiasa ya nchi zinazoizunguka Iran daima imekuwa ikiathiri usalama wa taifa hili. Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina mpaka ulio na urefu wa kilomita 2000 katika Ghuba ya Ujemi na bahari ya Oman, jambo ambalo lina umuhimu mkubwa wa kijiografia, kiusalama na kisiasa kwa taifa hili la Kiislamu.
-
Maadhimisho ya Ushindi ya Mapinduzi ya Kiislamu (5)
Jan 30, 2017 06:04Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokujieni kwa mnasaba wa Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini MA, hii ikiwa ni sehemu ya tano ya mfululizo huu.
-
Jumatatu 23 Januari, 2017
Jan 23, 2017 02:07Leo ni Jumatatu tarehe 24 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 23, 2017.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-3
Jan 18, 2017 05:08Sehemu ya leo ya makala hii itatupia jicho ukurasa wa tatu wa maisha Ayatullah Rafsanjani baada ya kumalizika vita vya kulazimishwa hadi alipofariki dunia zaidi ya moja moja iliyopita.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 05:40Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 9
Jan 09, 2017 02:58Mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo ndani ya siku saba zilizopita......